Msaada vb6 na mysql 2008 r2 tafadhali

Msaada vb6 na mysql 2008 r2 tafadhali

fredie92

Senior Member
Joined
Oct 30, 2012
Posts
133
Reaction score
32
Wakuu habari za jumapili...

Naomba msaada tafadhali, kuna jamaa alinitengenezea program fulani sasa kasafiri na yupo mbali sana, sasa computer niliyokuwa natumia imeibiwa. Program yenyewe sina pia.

Baada ya kuwasiliana naye kanambia nicompile hizo code tena, kanielekeza cha kufanya na haijawa shida.

Alitumia visual basic 6.0 na database ni mysql 2008 r2.

Nimeinstall hiyo vb6 tayari pamoja na mysql 2008 r2.

Niki-run hizo code zake natakiwa kuingiza details fulani ili ni-connect na mysql, hapo ndo pananitoa jasho, kila nikijaribu ni error isemayo "can not connect to remote server"

Nina shida sana kwa atakayeweza kunisaidia, hata kwa kutumia Team viewer au kunielekeza step by step kwa simu.

Tafadhali naomba msaada wa hali na mali, no yangu ni 0652881829.

Asante sana!!!
 
Copy hiyo connection string iweke hapa itakuwa njia rahisi ya kukusaidia,nahisi unakosea database name,username na password.
 
Back
Top Bottom