Nahitaji simu(SAMSUNG)

Nahitaji simu(SAMSUNG)

Feiaidan

JF-Expert Member
Joined
Jun 1, 2013
Posts
237
Reaction score
130
Habarini wadau!
Nahitaji kununua Samsung smartphone mpya na original!
Budget yangu katika hili ni 400k tu.
Naomba wajuvi wa Samsung na bei zake kwa sasa mniambie kwa hiyo budget ni samsung gani itanifaa.
I need to know this overview before I set my foot into Samsung shop!

Asanteni sana.
 
Zipo nying, kuna dual sim na single sim.. I9082 ni samsung galaxy grand yenye dual, ila km unafika 500k bora uchukue s4 mini, iko smart zaidi in terms of specifications and color quality..🙂 na pia kina s3 nayo inafika 500k,
 
Kama una laki mbili, ninayo samsung mpya original kutoka sweden samsung galax trend plus,
Ni kama mpya imetumika wiki chache hata mwezi haijafika. Nitakuthibitishia kua ni mpya na niorigina kwa kupitia doc.
Ni jamii ya galax min.
Bei haipungui hata shilingi moja.

Haina tatizo na inagaranty ya mwaka mmoja, ila wewe sitakupa garanty coz inatumika nje ya nchi iliotoa garanty
 
Mkuu unapatikana wapi?
 
ninayo samsung galaxy s4 original na bado mpya kabisa kama uko serious juu ya iyo kitu ni PM
 
Nenda dukani,maduka mengi yanauza we wachagua tuu
 
Mkuu unapatikana wapi?

Mkuu samahani nilishauza hio simu ila zikipatikana nita washitua wadau wanao hitaji.

Nilichelewa kujubu coz jamiiforam ilikua inasubua wiki iliopita
Samahani wate kwakuchelewa kujubu.
 
Back
Top Bottom