Ushauri juu ya ununuzi wa gari dogo

Ushauri juu ya ununuzi wa gari dogo

cj21125

JF-Expert Member
Joined
May 12, 2013
Posts
3,593
Reaction score
3,551
Mwenye majuzi na uzoefu anijuze aina ya gari used ndogo yenye sifa hizi:
-Inayonusa mafuta(inayotumia mafuta kidogo)
-Bei <7mil.
-Unafuu wa Spare parts.
-Uchache wa kilometer zilizokwisha tumika
 
Chukua Vits mkuu,acha waseme ni gari za kike lkn mafuta lita tano tu misele ya kuzidi,spare zake ni rahisi hata ikizingua Engine laki saba tu unapata engine unapachika kisha unapumzika!Nakutakia kila la kheri mkuu
 
Sasa uchache wa kilometers ndio usaidiweje? Gari inaweza kuwa km 40 elf alaf mbovu na nyingine 80000km lkn safi.

Vitz, colora limited, carina TI safi tu
 
Back
Top Bottom