Tech, Gadgets & Science Forum

Technology based discussions. Computer, Science & Engineering Technology including gadgets and PC Gaming Discussions

On JF:

Habar natumia Nokia Asha 200. naomba msaada wa application ya whatsapp na namna ya kuinstall maana nmedownload nmeshindwa
0 Reactions
0 Replies
528 Views
Habari ndugu zangu wa JF? Mimi mzima. Computer yangu imekuwa na tatizo la kuandika power save mode na kuniletea maneno mengine halafu inawaka. Baada ya muda inaandika tena power save mode...
0 Reactions
4 Replies
4K Views
Kwa wale watumiaji wa Javascript, kwa muda nimekua nikitumia text editor (Sublime text) kucode Javascript afu results nakua narefresh kwenye HTML page, hii inanifanya niwe slow mno.. Natafuta...
0 Reactions
3 Replies
877 Views
Wakuu!!! Nina database ambayo ni postgresql 9.1.3.1 na natumia postgis 2.0.0.2. Fronthand ni access 2007. sasa ninavyo insert data message tajwa hapo juu inatokea. Nikijaribu kuangalia naona kila...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Huna haja ya kununua stabilizer kwa kila chumba! Unacho hitaji ni kununua stabilizer moja yenye uwezo wa kuhudumia vyumba vyote unavyo hitaji socket zake ziwe na ulinzi wa stabilizer...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
wakuu wote kwa wale wanaojua wepsite yeyote ambazo unaweza ku download program free hususan kwa ajili ya computer tupieni hapa ili iwe msaada kwa wanajamii wote mimi naanza kwa kuweka hizi...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Habar zenu wakuu, nina samsung galaxy s5 demo unity, huwez kupiga cm wala kutuma sms, kama unamtaalam wa kuzifanya zipige cm naomba nisaidieni. Natanguliza shukran
0 Reactions
6 Replies
2K Views
Wakuu hili tatizo limenisumbua sana. majina yanayoonekana ni line 1 tu lakini line 2 inasoma namba bila majina. kuna wakati napokea simu ya bosi bila kujua kwa kuwa jina halionekani...
0 Reactions
10 Replies
1K Views
Kwa wale waliokwisha kutumia simu hizi, je zina dial namba za USSD?
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Rafiki yangu kanunua iPhone 5 kutoka kwa mtu(used) kila ikiwekwa line inasema simu imeibiwa… so inashindikana kuitumia coz inahitaji iphone id… tunafanyaje kuhusu hilo tatizo? Shukran in advance.
0 Reactions
24 Replies
48K Views
jamani kuweni makini sana na hawa watu. yani mtu mimi na rafki yangu tulichanga hela tununue ps4 ebay tukalipa hela yetu tukiwa tunausbir mzigo kwa hamu .cha ajabu hadi leo tokea november hamna...
0 Reactions
8 Replies
2K Views
Natumia iyo aina ya simu niliyo itaja apo but nashindwa kuelewa ina tatizo gani kila ninapo taka ku download applications mbali mbali inaniambia "there is insufficient space on ur divice error...
0 Reactions
18 Replies
2K Views
Dah yan hawa jamaa wamenimaliza nguvu kabsaaaa,,google adsense wamenifungua juzi akaunti yangu et kisa invalid clicks,,na wakaniambia ni appeal nikafanya hvyo na wakaja nijbu ombi langu...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Kwanza heri ya mwaka mpya. hebu nisaidieni hili swali. Mouse ina wire ngap ndan ya connector yake na kila wire inafanya kaz gani ? Namaanisha ile wire unaokwenda kwenye PC
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Habari wakuu.! Nimeludi kwenu tena naitaji kujua VPN gan nzuri ili niweze kutumia net Bure.. Nine root simu yangu galaxy s3mini nipo natumia vr.4.4.2 cm.. Msaada wakuu
0 Reactions
32 Replies
10K Views
guys nimekua nikipata tatizo kwenye keyboard yangu ya labda where baadhi ya keys hazi-respond nikizibonyeza naomben solution
0 Reactions
2 Replies
954 Views
natumia simu tajwa ila nimenunua vodashop hivi nahitaji nitumie lain zote nifanyaje
0 Reactions
2 Replies
878 Views
Shikamooni wanajamii! Leo fundi kaniabia lnb yangu ya zuku imeungua. Ilipoteza network wakati wa mvua. Naomba aliye na ujuzi huu anieleweshe kama ni kweli mvua inaleta hili tatizo? Dish lenyewe...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Wakuu anayejua bei ya Rav4 J milango tano, mpya kabisaa show room naomba anijuze. Nawasilisha.
0 Reactions
28 Replies
16K Views
Wakuu mwenye kufahamu kuhusu hii power bank anijuze vizuri kabla sijainunua. Nakaribisha pia wenye kujua kuhusu power banks aina tofauti tufahamishane. Ahsante !!!!!
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Back
Top Bottom