PC kuzingua Internet, msaada please

PC kuzingua Internet, msaada please

Going Concern

JF-Expert Member
Joined
Jul 25, 2011
Posts
1,071
Reaction score
1,213
nimekua nikijiunga na kifurushi cha unlimited cha buku cha voda kila siku, nikawa na download na kufanya mambo yangu vizuri tu, but nikama ww sasa, nafungua website tofauti inazingua, inafunguka slow sana, net inakua down japo inasoma 3G, sasa hivi imegoma kufungua website yeyote mpaka jamii forum, tatizo ni nini? nisaidieni wakuu, nifanyeje?
 
Back
Top Bottom