Galaxy Note3 yangu inajizima

Galaxy Note3 yangu inajizima

medisonmuta

JF-Expert Member
Joined
Oct 10, 2014
Posts
2,449
Reaction score
1,536
Simu yangu ya Galaxy Note3 imepata tatizo la kujizima ninapoiacha idle kwa muda. Huwa nashindwa kuwasha hadi nitoe betri na kuirudisha. Nimejaribu kununua betri mpya kwa kujua tatizo ni betri lakini bado tatizo ni lile lile. Naombeni wataalamu mnisaidie nipate ufumbuzi...
 
ikijizima ww iwashe tu ukichoka unatupa unanunua nyingine
 
Simu yangu ya Galaxy Note3 imepata tatizo la kujizima ninapoiacha idle kwa muda. Huwa nashindwa kuwasha hadi nitoe betri na kuirudisha. Nimejaribu kununua betri mpya kwa kujua tatizo ni betri lakini bado tatizo ni lile lile. Naombeni wataalamu mnisaidie nipate ufumbuzi...

Jarbu kufanya hard reset kwanza.
 
Simu yangu ya Galaxy Note3 imepata tatizo la kujizima ninapoiacha idle kwa muda. Huwa nashindwa kuwasha hadi nitoe betri na kuirudisha. Nimejaribu kununua betri mpya kwa kujua tatizo ni betri lakini bado tatizo ni lile lile. Naombeni wataalamu mnisaidie nipate ufumbuzi...

Watu wanakupa majibu ya jabu . Ni hivi: Ina overheat. Mimi ninayo ilifanya hivyo nikapeleka kwa fundi akarekebisha. Haina shida tena! lakini fundi awe very competent vinginevyo ataharibu zaidi
 
Shukrani mkuu
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom