Mtaalam wa ku-root Samsung Galax Duos

Mwendabure

JF-Expert Member
Mar 10, 2011
2,138
1,040
Wakuu! Nipo Dar kwa muda wa siku 5 nahitaji mtaalam wa ku-root simu yangu tajwa hapo juu. Napatikana maeneo ya Pugu na Kariakoo. Kandamiza PM na gharama za huduma. Asante!
 
Bado Mkuu Elviejo nilitoka nje ya Dar nategemea kurudi siku za hv karibuni.
 
Last edited by a moderator:
kwan ugumu upo wapi njia rahisi ya kuroot simu nyingi kama ukiwa na custom recovery unaflash superSU zip tayari
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom