Tech, Gadgets & Science Forum

Technology based discussions. Computer, Science & Engineering Technology including gadgets and PC Gaming Discussions

On JF:

Mambo vipi bloggers Kwa miaka kadhaa nimekuwa na blogs ninazoziandikia kimombo, sasa najikuta natamani kumiliki blog ya kiswahili. Lengo langu nipate visitors 2M kwa mwezi kupitia SEO mana bongo...
2 Reactions
14 Replies
2K Views
Wakuu nilipata wazo la kutafuta Cv za watu maarufu duniani na kutengeneza blog ili baadae nije niiunganishe na adsense . Blog yenyewe ni hii hapa www.worldfamousresumes.blogspot.com nimetafuta...
1 Reactions
26 Replies
7K Views
Habari zenyuu,, Hivi karibuni nimekuwa nikiexperience kufutika kwa Namba za Simu nilizokuwa nimesave kwa Truecaller, kila ukisave upya badae hukuti jina ukibahatika unakuta namba tupu kwenye chati...
0 Reactions
3 Replies
555 Views
Wakuu! Wazee wa kutafuta vichaka vya kujifichia sasa tumefikiwa. Nimekua nikitumia linux kama primary kernel kwenye laptop yangu kazi Moja ya sababu ni usalama, kupinguza attack, virus etc...
8 Reactions
27 Replies
2K Views
KUJAZA TASK NA SUB-TASK. Watumishi wote wanaingilia kwenye mshare WA kwanza kushoto. Then mshare WA kwanza kulia anaingia supervisorkuset performance indicator, tarting date na ending date...
0 Reactions
6 Replies
5K Views
Wakuu salama? Mimi ningependa kufahamu kwa wajuzi kuwa kati ya Blogu au tovuti na YouTube ipi ukiunganiswa na Google Adsence inalipa vizuri? Yaani wapi unaweza earn Pesa kubwa kati ya YouTube na...
0 Reactions
10 Replies
2K Views
Habari Wanajamvi, Ninaomba Kuelimishwa Juu Ya Submeters Zile Zinazokuwezesha Kutumia Umeme Wako Tu Mwenyewe ukitenganisha na Wale mnaoshare Meter Moja. Je Unit Siku Zikiisha Main Meter...
3 Reactions
5 Replies
862 Views
kama kichwa cha habari kinavyo jieleza nahitaji developer anayejua kudesign website nitayefanya nae kazi zangu tafadhali nicheki inbox chap
2 Reactions
5 Replies
643 Views
Habari ndugu zangu, Nina shida Whatsapp yangu ilifungiwa kwasababu nilikua natumia GB whatsapp. Nikawasiliana nao kwa njia ya Email account ikafunguliwa. Nikatumia whatsapp official kwa muda wa...
0 Reactions
12 Replies
1K Views
Habar zenu wadau. Nataka kununua laptop lakini mimi sio mzoefu/sana na naogopa kupigwa mana siku hizi nimeskia wafanyabiashara wajanja wanauza laptop used kwa bei ya mpya, wanachofanya ni...
3 Reactions
18 Replies
3K Views
Kwa tech gurus wote kwenye jukwaa hili, title ya uzi yahusika. Naombeni namna ya ku-watch/download WhatsApp Video call (outgoing). Urgently naihitaji video husika ila haipatikani kwenye...
0 Reactions
4 Replies
423 Views
O
1 Reactions
3 Replies
566 Views
Wakuu nina subwoofer ndogo nimenunua haijamaliza mwezi ina tatizo la kujizima kila mara mfano umeweka flash unasikiliza mziki au upande wa radio itajizima kama vile umeme umekata lakini muda...
2 Reactions
10 Replies
1K Views
Usije ukalia baadae, useme hukujua.[emoji116] 1. Kama umepokea ujumbe kutoka Kwa mtu unayemuamini sana Mfano anakwambia Kuna site ya kuinvest na unapata faida kubwa Cha kwanza FIKIRI. Pili...
5 Reactions
3 Replies
2K Views
Ndugu zang wa JamiiForums, laptop inatikiwa na ram ilikuweka game kwa kucheza mfano sasa Pes 2023, Call of Duty 3, Fifa 2024 inatakiwa Ram ngapi ilikucheza bila kugom goma
2 Reactions
8 Replies
1K Views
Naomba kuuliza; Kipimo cha treni kwenda kasi ni kuchongoka kwa kichwa chake au mifumo ya ndani ya injini? Nauliza hivyo kwa sababu nimeiona video siwezi kuidownload mkurugenzi wa TRC akisema kuwa...
2 Reactions
12 Replies
1K Views
Habari wadau, poleni na kazi. Hivi mwalimu aliyesoma Mathematics na IT chuo anaweza kufundishia Computer science Kwa ngazi ya A-Level? Nawasilisha mada.
1 Reactions
1 Replies
807 Views
Kwenye hard disk ya computer yangu kuna partition ina 197 GB ina files zangu nyingi sana.Nilikuwa najaribu kufanya installation ya Windows 10 kwenye partion nyingine ya hard disk hiyohiyo yenye...
0 Reactions
0 Replies
444 Views
Wanajamvi heshima kwenu,katika pitapita zangu mtandaoni nilibahatika kukutana na notisi nzuri sana kwa watoto wa shule ya msingi, kupitia forum ya "msomi bora" kwa bahati mbaya sana notes hizo...
0 Reactions
4 Replies
713 Views
Niliwahi kum unfollow Dr mmoja anayewasema sana wanaume, ila kila nikifungua simu naona ukurasa wake eti suggested for you! Kwa mwanaume yeyote ukitaka kuishi kwa kuongezewa msongo,mfuate huyu...
1 Reactions
3 Replies
349 Views
Back
Top Bottom