MAHENDEKA
JF-Expert Member
- Jul 9, 2010
- 337
- 176
Wakuu nilipata wazo la kutafuta Cv za watu maarufu duniani na kutengeneza blog ili baadae nije niiunganishe na adsense .
Blog yenyewe ni hii hapa www.worldfamousresumes.blogspot.com nimetafuta template ambayo ni responsive kwenye mobile nikaichezea kidogo mwisho wa sku ikawa kama inavyoonekana hapo.
Nmeupdate contents mpaka zimefika hapo mnapoiona hio blog ila napata changamoto ya "viewers" ni wachache sana,kila kiweka new post napata viewers 5 mpaka 8 kwa siku
Naomba kujua kwa wazoefu wa adsense ni namna gani naeza ongeza ranking ya blog yangu kwenye website ya google ? au ni kwa namna gani naweza pata viewers ?
Pia kama kuna mtu ana ujuzi wa namna ya kufanya SEO anishauri, je ni wapi nakosea ? na nifanye nini hapo ili niweze kupata traffic ya kutosha .. wasiwasi wangu ni kwamba hata nikiomba adsense sitapata kitu ndio maana nimeona niache kwanza