Watumishi wa Serikalini jinsi ya kuweka task na sub-task kwenye mfumo wa ess (pepmis)

RAINEL LIHAWA

Member
Apr 14, 2015
33
30
KUJAZA TASK NA SUB-TASK.

Watumishi wote wanaingilia kwenye mshare WA kwanza kushoto.

Then mshare WA kwanza kulia anaingia supervisorkuset performance indicator, tarting date na ending date pamoja na kujaza weight Kwa Kila SUB-TASK

Pia ataingilia ku-approve task za watu wake wachini.

Kuna mdau anauliza mbona weight marks zinaonekana ni kubwa sana Kwa Task moja!???

Note the following.

1. Kila task moja inatakiwa iwe na total 100%

2. The way task inavyokuwa na sub-task nyingi basi inatakiwa ugawanyie hizo marks 100 kwenye zile subtask Ili zikamilishe marks 100% za task kuu.

3. Task ikiwa na SUB-TASK chache so, hizohizo chache utazipa marks ambapo ukijumlisha zifikie 100%

Kwa Elimu zaidi juu ya mifumo hii unaweza Follow page zetu za mitandao ya kijamii.

IMG-20240113-WA0054.jpg
 
Kweli kila mtumishi ana uwezo wa kujaza hiyo ? Ni lazima? Usipojaza utafanywa nini na nani?
 
Kweli kila mtumishi ana uwezo wa kujaza hiyo ? Ni lazima? Usipojaza utafanywa nini na nani?
Yes ni lazma kwa sababu ndio OPRAS,
imebadilishwa kutoka katika Karatasi kuwa Digital!
Usipojaza utakosa Stahiki zako kama mtumishi ikiwa ni kama kupandishwa cheo l, Kupandishwa Daraja, kupasa Praise na vingine vingi..

Usipojaza OPRAS ni kama mtumishi aliyekazini asiyekuwa na Task wala kitu cha kufanya so your not even Recognised!
 
Hvi mtoa mada mitandao ya kijamii kule unatumia jina gani
 
Back
Top Bottom