Tech, Gadgets & Science Forum

Technology based discussions. Computer, Science & Engineering Technology including gadgets and PC Gaming Discussions

On JF:

Naomba msaada wa app ya kubadili mwandiko (font) kwenye simu ya samsung bila kuroot simu ...samsung a10s
0 Reactions
30 Replies
9K Views
Aisee mi siwezi kutumia hiki kidude wanachokiita SIRI (AI)…
1 Reactions
8 Replies
679 Views
How to reset your phone? The generic steps for factory reset will involve the below similar steps: Go to the Settings app in your phone and find System. Select Reset Option. Reset option usually...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
ni juzi hapa niliweka post ya kununua hard disc kuigeuza iwe external lakini speed yake ya kuhamisha mafaili ilikuwa ndogo sana, wadau wakanipa elimu ndio nikagundua tatizo lipo kwenye kasha /...
1 Reactions
10 Replies
1K Views
Jambo wanajamii. Tafadhali anayejua app ya kutafsiri lugha, nimekutana na kitu kizuri sana usiku huu Youtube, sitapenda kinipite. Thank you in advance.
0 Reactions
0 Replies
657 Views
Kwa miaka nenda rudi, nchi kama marekani imekuwa na matukio kadhaa ya UFO(Unknown Flying Object). Madai abayo yamekuwa yakihusisha vifaa hivyo na uwepo wa viumbe wengine wneye akili na teknolojia...
0 Reactions
9 Replies
660 Views
Naomba ushauri nataka kununua used Samsung Galaxy note 10 plus je ni nzuri?
0 Reactions
1 Replies
1K Views
UPDATE / MREJESHO: Tatizo lipo kwenye case ni usb 2.0, nimetesti kuiunganisha moja kwa moja kwenye desktop speed ni nzuri MB 50 kwa sekunde, chief mkwawa kanishauri ninunue case ya usb 3.0...
2 Reactions
21 Replies
2K Views
Habari wanajukwaa natumaini mbuheri wa afya. Leo naomba nigusie japo kwa kiasi kuhusu hizi apps za mikopo ambazo kwa Sasa zimekuwa nyingi sana na promotion kubwa inafanyika huko YouTube...
3 Reactions
7 Replies
2K Views
Je, dhana hii ni kweli...? inaaminika kuwa watumiaji wa simu zenye mifumo ya "android" ni kuwa wako hatarini zaidi kudukuliwa kuliko watumiaji wa simu zenye mifumo ya "iOS"
2 Reactions
12 Replies
769 Views
Kwanza nimpongeze mama Samia anaupiga mwingi watoto wa kizimkazi tuko nyuma yake [emoji3][emoji3] Wakuu Poleni na Starehe.Aiseee hivi wapi naweza kupata free PSD template za Adobe Photoshop Free...
0 Reactions
8 Replies
496 Views
Natafta namna ya kutrack sms za whatsup mwenye maujuzi anisaidie
0 Reactions
53 Replies
14K Views
Naomba kujua kifaa hicho kama kinapatikana Tanzania au kwa kuagiza ili niweze kuperfom vizuri Sina budget kubwa kwa mafundi simu mnanielewa.
1 Reactions
6 Replies
612 Views
Aise kama unataka kuanza ku code kitu kabla hauja chagua frameworks hakikisha unapitia cost za deployment kwanza, bila hivyo utajikuta system yako unatumia mwenyewe kwenye localhost Ipo hivi...
0 Reactions
5 Replies
739 Views
Moja ya kitu ambacho kilikuwa kina nikera ili kwenye kufungua tovuti.
6 Reactions
33 Replies
2K Views
simu yangu :iphone tv: smart tv
3 Reactions
24 Replies
2K Views
Habari zenu anaejua duka linalouza graphics card used anipe mawasiliano yao nahitaji ile yenye umbo dogo low profile mashine yangu ni SFF kuanzia GTX 1060 au RX 590
3 Reactions
28 Replies
1K Views
Msaada kubadiki castom domain name ya bloger nimehost free site katika infinity free hosting. Nikiplace inanigomea msaada
1 Reactions
8 Replies
804 Views
Habari ndugu zangu. Naomba kuuliza website ninazoweza download PS4 games bila shida. Nilizoea kutumia kickass na piratebay Ila naona hazieleweki kabisa siku hizi. Naombeni msaada huo Wana JF.
0 Reactions
9 Replies
2K Views
Back
Top Bottom