Tech, Gadgets & Science Forum

Technology based discussions. Computer, Science & Engineering Technology including gadgets and PC Gaming Discussions

On JF:

Kwenye line yangu ya airtel nimepokea kwa mfulilizo sms zenye maneno haya:imo verification code .........(kwenye dashdash inawekwa namba. Katika muda wa ndani ya dk 5 nimepokea sms 4. Naomba...
0 Reactions
2 Replies
3K Views
Wakuu naomba mwenye app inayoweza ku generate active email kadri nitakavyo.
0 Reactions
0 Replies
627 Views
Kwa wale wapenzi wa mambo ya kuchugulia angani..kupatwa kwa jua/mwezi, kuangalia nyota/satellite na mambo mengineyo angani najua watakuwa wanajua hii. Ila kwa wale wasiojua na wanapenda kujifunza...
0 Reactions
0 Replies
4K Views
Wasalam wanajf!! Siku kadhaa sasa Nasoma taratibu za kufanya manunuzi mtandaoni kutumia ebay. Katika kusajiri ebay account Kuna baadhi ya vitu sijavielewa mfano address, Postal code. kwa sasa nipo...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Nimejaribu kuweka Link kwenye za video kutoka youtube kwenye blog yangu ila imegoma,pia ni mbinu gani nitumie kuweka mp3 songs kwenye blog?
0 Reactions
5 Replies
5K Views
Washirika nahitaji kununua x master receiver kwa bei inayokubalika
1 Reactions
6 Replies
4K Views
Habari wandugu, Poleni na majukumu ya ujenzi wa Taifa letu. Nina shida kidogo inanisumbua maana najaribu kuunganisha kufurushi cha omg kwenye ipad yangu ila speed yake ndo ndogo sana huwezi hata...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Naomba msaada ni code number gani naweza kutumia nikaiongezea uwezo (internal memory GB) tablet YXTEL M901.
0 Reactions
6 Replies
2K Views
Wakuu wapi naweza pata hiyo connector? Nnayohitaji ni yenye 15 pin connector, ina 5 wires zinazoingia kutoka kwenye Power supply na tano zinatoka. Nahitaji kureplace kwenye desktop, HP.
0 Reactions
0 Replies
580 Views
Habari zenu wakuu, nilikuwa naomba msaada kidogo kutoka kwenu. Nataka kutengeneza video shoot kwa ajili ya ku experiment gunshot muzzles nilizokuwa nazo za Adobe After Effects. Kama kuna mtu...
1 Reactions
2 Replies
1K Views
Mtandao wa TTCL internet umeendelea kuwa kituko kwa huduma ya unlimited internet kuwa ya ovyo, huku wakiendelea kupokea fedha za malipo za wateja cha ajabu ttcl ndio walipewa mamlaka ya kuhodhi...
0 Reactions
8 Replies
4K Views
Nchi za marekani na uingereza zimekubaliana kushirikiana pamoja katika ulinzi dhidi ya mashambulio ya kimtandao. Kupitia kitengo cha pamoja (joint cyber-cell), nchi hizi mbili zitashirikiana...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Wakuu kuna desktop ya famili hapa home nilikuta kuna dogo kabofya mpaka ukiwa unaiwasha inaitaj uweke pincode ndo ifunguke kitu ambacho siyo kizur naitaj niondoe systerm ya kuomba pincode wakat...
0 Reactions
1 Replies
3K Views
Qsat 11g yangu inabadili channel yenyewe bila kuguswa bila remote nimejaribu kutoa betri kwenye remote lakini tatizo liko vilevile nimejaribu factory reset nimeweka software mpya bado bilabila...
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Hello. Natumia mtandao wa Vodacom, nataka kutumia hii service ya Barring all Incoming calls, sasa nimejaribu manually inakataa as siijui Barring password, also nimewapigia customer care, kaishia...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Wadau Habari Zenu Mimi Ni Mteja Sana Wa Hizi Kampuni Mbili Za Simu, Tigo Na Vodacom. Mara Nyingi Huwa Nabadilisha SIM card kwa simu yangu yenye uwezo wa kukaa line moja. Sasa Kinachofanya...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Habari wadau, nina samsung mini laptop inatumia OS ya android (chromeOS) nataka kuibadili iwe inatumia windows je inawezekanaje maana nimejaribu nimeshindwa.
0 Reactions
5 Replies
2K Views
Wadau nilipolwa smartphone yangu na vibaka siku kadhaa zimepita na mpaka hapa nimekwenda kulipoti police but sijapata muhafaka jinsi ya kuweza kuipata, msaada toka kwenu ni njia gani muhafaka...
0 Reactions
10 Replies
2K Views
Ni kiasi gani wanafanya hapa dar na ni wapi? Ahsante.
0 Reactions
10 Replies
3K Views
Kwann ukipiga picha kwa simu...zinatofautiana size ..I mean mb...kb......na unakuta zimepigwa kwa wakati mmoja..?
0 Reactions
17 Replies
2K Views
Back
Top Bottom