SHIEKA
JF-Expert Member
- Dec 20, 2011
- 8,240
- 4,280
Kwenye line yangu ya airtel nimepokea kwa mfulilizo sms zenye maneno haya:imo verification code .........(kwenye dashdash inawekwa namba.
Katika muda wa ndani ya dk 5 nimepokea sms 4.
Naomba kwa anayefahamu anieleze hizi sms zina maana gani na zinatoka wapi?
Asante.
Katika muda wa ndani ya dk 5 nimepokea sms 4.
Naomba kwa anayefahamu anieleze hizi sms zina maana gani na zinatoka wapi?
Asante.