Msaada jinsi ya kuunganisha bundle kwenye ipad 4

Msaada jinsi ya kuunganisha bundle kwenye ipad 4

babuukikolo

Senior Member
Joined
Jan 1, 2014
Posts
146
Reaction score
167
Habari wandugu,
Poleni na majukumu ya ujenzi wa Taifa letu.
Nina shida kidogo inanisumbua maana najaribu kuunganisha kufurushi cha omg kwenye ipad yangu ila speed yake ndo ndogo sana huwezi hata kubrowse.
Nilikuwa naomba alieweza kutatua tatizo kama langu anisaidie ili niweze tumia ipad yangu maana sahv sioni thamani yake na nikitaka kuunganisha hadi nitoe line kitu ambacho kinanikera kwa kweli.
Napatikana jiji la mwanza
 
Tumia service provider wako awe zantel , maana wao wako vzr kiwi a ki network , *149*07# afu utafata maelekezo ila Ipad or tab ni kuchagua namba 4
 
Mkuu kwa mwanza binafsi huwa naona Airtel wapo vizuri kwa internet regardless umejiunga kwa device gani.
Kuanzia uni 255 had I hiyo OMG. Labda eneo ulilopo linaweza kuwa tatizo.
 
Back
Top Bottom