Kuchongesha funguo spea wa gari

Kuchongesha funguo spea wa gari

Ni kiasi gani wanafanya hapa dar na ni wapi?

Ahsante.

Gari gani mkuu? gari nyingi za sasa hivi HAUWEZI kuchongesha funguo kirahisi mtaani, you might need a specialist, au hata manufacturer mwenyewe!
 
Ni kiasi gani wanafanya hapa dar na ni wapi?

Ahsante.
kama gari yako ina immobiliser system ukichongesha funguo wa kawaida hautawasha gari unatakiwa utafute transponder key yenye chip kwa ndani utakayoweza kuilink na system ya ignition. kama haina immobiliser kachongeshe funguo wa kawaida. waone hawa jamaa naskia wanachonga funguo pia

funguo.png
 
kama gari yako ina immobiliser system ukichongesha funguo wa kawaida hautawasha gari unatakiwa utafute transponder key yenye chip kwa ndani utakayoweza kuiling na system ya ignition. kama haina immobiliser kachongeshe funguo wa kawaida. waone hawa jamaa naskia wanachonga funguo pia

funguo.png

jamaa gani hao mkuu na mimi nahitaji huduma hiyo?
 
Gari gani mkuu? gari nyingi za sasa hivi HAUWEZI kuchongesha funguo kirahisi mtaani, you might need a specialist, au hata manufacturer mwenyewe!
kwani yeye kasema anataka kuchongesha "kirahisi mtaani"???? We mwambie unapopajua panachongesha ufungua, period!
 
gari gani mkuu? Gari nyingi za sasa hivi hauwezi kuchongesha funguo kirahisi mtaani, you might need a specialist, au hata manufacturer mwenyewe!
happunew yr mpwa upo??nilivyosikia halizahewa mbaya nkakuomnea kweli usalimike nameli zetu zile.
 
kama gari yako ina immobiliser system ukichongesha funguo wa kawaida hautawasha gari unatakiwa utafute transponder key yenye chip kwa ndani utakayoweza kuiling na system ya ignition. kama haina immobiliser kachongeshe funguo wa kawaida. waone hawa jamaa naskia wanachonga funguo pia

funguo.png
sasa unajuaje kama gari ina immobiliser au haina immobiliser??? na hiyo transponder key unaipata wapi usawa huu?
 
gari gani mkuu? Gari nyingi za sasa hivi hauwezi kuchongesha funguo kirahisi mtaani, you might need a specialist, au hata manufacturer mwenyewe!
happunew yr mpwa upo??nilivyosikia halizahewa mbaya nkakuomnea kweli usalimike nameli zetu zile.
 
Iko town keep left ya DSTV YA (DTV) SIO DSTV B ABA kunja JKulia ulizw a caps. Battery dukalinalofwata mamawa kihindi anatengeneza kam,a,cmchjawi rate 7000-25,000
 
Ni kiasi gani wanafanya hapa dar na ni wapi?

Ahsante.
Nenda sinza makaburini pale,au mwenge mataa zinakopaki breakdowns bei ina range kuanzia 4000 mpaka 8000 inategemea na aina ya funguo.Haichukui muda only 5mins
 
ukiwa na funguo inayofanana na moja wapo ya hizi,basi jua ya kuwa zina transponder.pia nimeweka box la kuprogram Tranaponder key bei ni around dola 1500
 
Attachments

  • 2015-01-15-14-56-38--233480111.jpeg
    2015-01-15-14-56-38--233480111.jpeg
    8.9 KB · Views: 131
  • 2015-01-15-14-56-53--1046213143.jpeg
    2015-01-15-14-56-53--1046213143.jpeg
    8.5 KB · Views: 86
  • images-2.jpeg
    images-2.jpeg
    7.2 KB · Views: 88
  • images-5.jpeg
    images-5.jpeg
    9.4 KB · Views: 120
Back
Top Bottom