Kwann ukipiga picha kwa simu...zinatofautiana size ..I mean mb...kb......na unakuta zimepigwa kwa wakati mmoja..?
Swali lako ni zuri sana, picha mainly zinakuwa zimetengenezwa na blending colors tatu. Ambazo ni, Red, Green na Blue. Kwa mfano tuchukulie 24 bit za picha kunakuwa kuna 8 bits kwenye kila hizo blending colors.. Na kila zangi kati ya hizo tatu, zinakuwa zinaanzia kipimo cha 0 - 255 .
Zikiwa 0 zote basi picha nzima itakuwa nyeusi. Na zikiwa range ya juu kabisa (ambayo ni 255) basi picha itakuwa nyeupe yote. Hivyo sasa 255 ikiwa kipeo cha tatu itakuwa takribani rangi milioni 16. Kwa hiyo picha ikiwa na details nyingi intensity ya rangi huongezeka. Inapoongezeka ndivyo file size ya picha yako inavyoongezeka.
Kwa hiyo hata kama umepiga picha kwa wakati mmoja, kuongezeka na kupungua kwa details kunasababisha compression ya picha kupungua ama kuongezeka kwa photo file size yako. Natumaini nimekujibu kama ulivyouliza.
Hili jukwaa lilinifanya nijisajili jf officially baada ya kuvisit kama guest kwa zaidi ya miaka miwili
karib xana jukwaan,.,Hili jukwaa lilinifanya nijisajili jf officially baada ya kuvisit kama guest kwa zaidi ya miaka miwili
na kwa screenshot inakua ni nin?kuongezea hapa pia kuna resolution ya picha. kwenye simu hapa inaathiriwa na mambo mawili
1.megapixel za camera
2.setting za camera
-jinsi camera ilivyo na megapixel kubwa ndio jinsi picha inavyokuwa kubwa ki mb, kwa sababu resolution ya picha nayo inakuwa kubwa
-setting za camera pia zinasababisha mb zitofautiane. mfano iphone 5 ina 8mp lakini unaweza piga picha za 2mp, inamaana watu wawili wana iphone 5 mmoja akaeka setting 2mp na mwengine 8mp basi mmoja simu yake itatoa picha za kb kadhaa nyengine mb kadhaa.
ukichukua maelezo haya ukachanganya na ya dreamchaser swali lako litakuwa limejibika
na kwa screenshot inakua ni nin?
kivipi chiefresolution ya kioo chako,
HapanaMajibu yamenitosha sana.....
Lkn ukubwa wa picha ndo ubora wa picha.....?
uzuri wa huku angalau watu wanatumia staha kubwa ksatika kujadili hadi somo linaeleweka, shida ni kule majukwaa ya akina mwafulani