International Space Station (ISS)

sijui nini

JF-Expert Member
Sep 29, 2010
2,553
1,285
iss.jpg

Kwa wale wapenzi wa mambo ya kuchugulia angani..kupatwa kwa jua/mwezi, kuangalia nyota/satellite na mambo mengineyo angani najua watakuwa wanajua hii. Ila kwa wale wasiojua na wanapenda kujifunza :

International Space Station (ISS)
o-INTERNATIONAL-SPACE-STATION-facebook.jpg

ni kituo cha utafiti kinachoelea angani (about 400KM above earth). Ni laboratory kwa ajili ya kufanya utafiti mbalimbali. Ni kazi ya muungano baina ya mataifa mbalimbali makubwa duniani haswa russia na marekani. Kwa kupata taarifa zaidi unaweza kucheck hapa: International Space Station - Wikipedia, the free encyclopedia na hapa :International Space Station | NASA au unaweza kusearch google tu na kupata mambo mengi kuhusiana na hii kitu.

kutokana na kutokuwa mbali sana kutoka uso wa dunia hii station ni rahisi sana kuonekana kwa macho ya kawaida bila hata kutumia telescope na ndo kivutio kikubwa kwa watu wengi wapenda mambo ya anga. kwa kusaidia hili Nasa wametoa access ya kuweza kujua hiyo station iko wapi na inaelekea wapi ili iwe rahisi kwa watu kuiona..pia kuna link maalum ya live streaming ya baadhi ya cameras zilizopo kwenye station ambazo zinamulika juu ya uso wa dunia hivyo kuwezesha watu kuona kama vile ukiwa ndani ya huyo kitu. Hizi ni baadhi ya link za mambo yote hayo:

Kujua mahali ilipo: ISSTracker ~ Real-Time Location Tracking of the International Space Station au Current position of the ISS
kujua jinsi ya kuweza kuona station kwa macho yako: NASA - Spot The Station au How To Spot the International Space Station - Tested au How to spot the International Space Station | Earth | EarthSky
kuona live from the camera za station:[video]http://www.ustream.tv/channel/9408562[/video]

Hizi ni baadhi tu ya facts kuhusiana na ISS:
-inaizunguka dunia mara moja kila baada ya dakika 92.71
-Its the largest artificial body in orbit
-Its a habitable artificial satellite
-The station has been continuously occupied for 14 years, the longest continuous human presence in space.
-ISS is the ninth space station to be inhabited by crew
-Average speed of 7.66 kilometres per second (27,600 km/h; 17,100 mph)


na pia kuna video nyingi mbalimbali unaweza kuziona youtube za ISS..
 
Back
Top Bottom