naan ngik-kundie
JF-Expert Member
- Jun 5, 2014
- 1,750
- 2,438
Wakuu kuna desktop ya famili hapa home nilikuta kuna dogo kabofya mpaka ukiwa unaiwasha inaitaj uweke pincode ndo ifunguke kitu ambacho siyo kizur naitaj niondoe systerm ya kuomba pincode wakat naiwasha,
je1 nianzie wapi, maana nimekomaa bila mafanikio.
je1 nianzie wapi, maana nimekomaa bila mafanikio.