TTCL unlimited internet ni kituko

TTCL unlimited internet ni kituko

kenethedmund

JF-Expert Member
Joined
Feb 20, 2011
Posts
347
Reaction score
89
Mtandao wa TTCL internet umeendelea kuwa kituko kwa huduma ya unlimited internet kuwa ya ovyo, huku wakiendelea kupokea fedha za malipo za wateja cha ajabu ttcl ndio walipewa mamlaka ya kuhodhi fibre cable lakini cha ajabu wao ndio wanatoa huduma mbovu, Tena kwa gharama kubwa ukilinganisha na mitandao ya simu. Nilipata nafasi nikawa nareport kila mara wanakuambiwa tutawajulisha mafundi ila mafundi wanakuja wanakuambia hamna tatizo.

Yani hawa jamaa ni hovyo kabisa
 
keneth unahangaika na mtandao wa ttcl? hivi bado upo huu mtandao? ni wa hovyo sana wala usijiumize kichwa nao. we jitoe tu taratibu kuna pesa watu walishapiga pale wakaenda zao wameacha tu maruhani. tafuta tu modem yako jipatie bundle za kununua mitandao yetu hii mingine. ttcl ni majanga ndugu ni headache
 
TTCL ni ushuzi, ni wezi haijarishi unalipa kiasi gani ? Ni premier au ordinary bandwidth in 8kb wanachaji status sio size ya bandwidth.
 
Hivi Tanzania ni ISP yupi mbali na huu ushuzi wa TTCL anaweza kukupa reliable na fastest wired internet niko na modem router yangu inaozea kwenye box. Nahitaji kwa ajili ya online streaming and gaming.
 
Hivi Tanzania ni ISP yupi mbali na huu ushuzi wa TTCL anaweza kukupa reliable na fastest wired internet niko na modem router yangu inaozea kwenye box. Nahitaji kwa ajili ya online streaming and gaming.


Kwa uelewa wangu mi nazani kwa Tanzania internet service provider ni ttcl hakuna mwengine
 
Makubwa hivi T T C L bado ipo mm nisha isahau

Sent from my BlackBerry 8520 using JamiiForums
 
Wafanyakazi wenyewe wa ttcl hawautumii ww unatafta nn uko?
 
Back
Top Bottom