Mkulubilanga
Member
- Sep 23, 2013
- 40
- 16
Washirika nahitaji kununua x master receiver kwa bei inayokubalika
Washirika nahitaji kununua x master receiver kwa bei inayokubalika
Soma uzi wa m2n anauza 260000,uzi wa azsky number 2
ndio zipo kwangu unakalibishwa mkuu.
Unapatkana wapi?zinakamata Chanel zipi bei ndo hyo 260k?