Tech, Gadgets & Science Forum

Technology based discussions. Computer, Science & Engineering Technology including gadgets and PC Gaming Discussions

On JF:

Habari wanajukwaa? Natumia Solar power, converter yangu imezima ghafla ila inapokea moto wa betri kwa kushtua shtua, inshort haifanyi kazi, naomba wenye maujuzi na kifaa hiki wanipe ushauri juu ya...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Habari wakuu za majukumu? Juzi katika pitapita zangu nikaona kuwa Vodacom wana promo nyingine ya Simu tajwa hapo. katika kutaka kujua simu hiyo INA specification IPI ndipo nikaingia katika page...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Msaada kwenye simu ya huawei ascend g510-0200 imekuwa inadisplay unfortunately, the process android. Process media has stopped. Nimejaribu kuuninstall app zote lakini nikizima nikiwasha mambo ni...
0 Reactions
8 Replies
1K Views
What's app yangu imepigwa ban,hii ni kutokana na nilikuwa nataka kuweka what's app plus. Nifanyaje wakuu ili ifanye kazi kawaida? Shukrani.
0 Reactions
20 Replies
3K Views
Msaada waungwana, toshiba laptop yangu imezima kabisa baada ya kuchomeka USB wakati nachaji simu, msaada maana hata dalili ya taa moja hakuna.
0 Reactions
37 Replies
11K Views
Wanajamvi habari za saizi, kuna website mmoja nimetembea ambayo wanauza binocular bei rahisi sana, ni kampuni ya kichina, sasa wanahitaji malipo kutumia paypal. Hivi naweza kuwaamini nikalipia...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Hii ni news from Reuters kwamba kuna firmware imekuwa planted na moja ya intelligence agencies katika kila hard disk zinazotoka nchini marekani. Hii firmware ina start pale unapo boot computer...
1 Reactions
16 Replies
2K Views
kwa wale wataalamu wa magari. kuna tofauti gani kati ya noah new model na voxy?
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Naitaji kufahamu Website hosting inaweza ghalimu kiasi gani cha pesa kwa mwaka?! Na nisaidie server zipi zipo vizuri katika kuhost site zikiwemo za Tanzania na za nje ya Tanzania.
0 Reactions
16 Replies
3K Views
Wakuu nataka kuunganisha computer mbili zitumie printer moja. Sitaki kuset local network mpaka nipate Server.
0 Reactions
10 Replies
5K Views
Weekend hii nlikua natafuta biblia ya kiswahili Android store nikakuta kama 5 hivi zote zinafanana Interface nikahisi wote watakua wamechukua code somewhere na kubadili kitu basi nimetengeneza...
2 Reactions
8 Replies
3K Views
Kama unahitaji ant virus mpya kabisa ya 2015 tafadhali nicheki kwenye hii namba 0788902931 au ni PM..asante.
0 Reactions
0 Replies
702 Views
Habari za majukumu wakuu, nina Samsung Galaxy Note 10.1, 1. toka jana (16 febr 2015) imeleta mistari inayocheza cheza na kama mawingu vile kwenye screen. Nimejaribu kufuta application...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Naomba msaada kwa anaye jua jinsi ya kudownload video iliyoko youtube kwa kutumia Huawei y 300 anijulishe.
0 Reactions
10 Replies
2K Views
Habar zenu wakuu .. Nina laptop dell latitude E5420 nilikua na badilisha hdd kwa bahat mbaya pin mbili zilichomoka kwenye hile hdd connector yake.. Naomba kama kuna mtu anayo connector ya haina...
0 Reactions
1 Replies
717 Views
Wadau naomba ushauri, toshiba yangu ilianza kwa kukoroma kwa spika na sasa haitoi sauti kabisa, sababu yaweza kua nin? maana uzoefu na haya mambo sina kupeleka kwa mafund wetu hawa naogopa...
0 Reactions
9 Replies
2K Views
Katika simu yangu aina Tecno Phantom Z nime-download applications nyingi na sasa inaniambia hakuna nafasi ya kutosha (insufficient space) ninapotaka ku-update hizo applications. Kinachonisumbua...
0 Reactions
9 Replies
3K Views
Mwaka jana nilisikia wanazitangaza sa sijui kama bado zipo? haijalishi ni dot matrix, lazer au bable jet, ila iwe nauwezo wa kutoa copy pia (photocopying). Naombeni msaada wenu, mimi sio...
0 Reactions
14 Replies
6K Views
Naombeni kujuzwa na yeyote mwenye ufahamu kuhusu gharama nnazoweza kukumbana nazo kuunlock blackberry passport ambayo ni factory unlocked
0 Reactions
1 Replies
928 Views
Hellow wanajamvi ?... Katika pita pita zangu madukani nimeziona hizi simu viwa x7 na max 5 nkavutiwa na specs zao especial ram ,storage,android version na size ya screen. Ila nina wasiwasi...
0 Reactions
22 Replies
12K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…