Naomba kufahamu kuhusu ZTE mobile za voda

Naomba kufahamu kuhusu ZTE mobile za voda

Kilangi masanja

JF-Expert Member
Joined
Aug 20, 2013
Posts
4,629
Reaction score
5,262
Habari wakuu za majukumu?

Juzi katika pitapita zangu nikaona kuwa Vodacom wana promo nyingine ya Simu tajwa hapo. katika kutaka kujua simu hiyo INA specification IPI ndipo nikaingia katika page ya Vodacom ile ya Facebook,

Nikawaulizia kuhusu hizo specification za Simu hiyo but niliishia kupewa link ambayo kila nikiifungua inasumbua
Kwa anayejua anisaidie Kwa hilo.

He kanasapoti opera mini?
 
Habari wakuu za majukumu? Juzi katika pitapita zangu nikaona kuwa Vodacom wana promo nyingine ya Simu tajwa hapo.

Katika kutaka kujua simu hiyo INA specification IPI ndipo nikaingia katika page ya Vodacom ile ya Facebook ,nikawaulizia kuhusu hizo specification za Simu hiyo but niliishia kupewa link ambayo kila nikiifungua inasumbua.

Kwa anayejua anisaidie Kwa hilo, He kanasapoti opera mini?

ZTE ipi sasa.. weka hapa hiyo link
 
Back
Top Bottom