Ninaposema bei ndogo simaanishi bei ndogo kabisa ni around laki 4 japo inaweza kupungua kidogo, mara ya kwanza nilipoiona sikuamini vitu unavyopata na bei unayolipa. nafkiri simu hii sasa...
Samsung imewaonya wateja wake kuhusu kutojadili mambo yao ya kibinafsi mbele ya televisheni zao.
Onyo hilo ni kwa wale watazamaji ambao hudhibiti televisheni zao kwa kutumia sauti.
Baadhi ya...
Jamani kila nikichomeka drive yoyote ile kwenye computer yangu iwe ni flash, memo. card, hdd na hata modem nakuta folders zote zilizo kwenye drive husika zimebadilika na kuwa shortcuts.
Tatizo...
Kuna dogo alikuwa anatumia computer yangu,sasa katika utundu wake akawa ameweka password na kwa bahati mbaya haikumbuki hiyo password. Sasa naomba msaada wenu wa jinsi ya kutoa hiyo password maana...
Kuna mtu kaniletea ipad ya apple ambayo haina access ya kuinsert sim so najiuliza ninawezaje kutumia Internet ikiwa nipo huku kwenye maeneo ambayo sina access ya wireless internet.
So naomba...
Natumia Printer ya EPSON L210 yenye kutumia wino wa maji wa kujaza kwenye matanki(Liquid ink refilling tank), kwa kuwa nilinunua ikiwa mpya kabisa ilikuja na package ya chupa za 4 za rangi...
samahan wadau nimefanya setting ya display ya cpu inagoma kuonyesha kwenye monitor natumia window7 computer desktop hp nikiwasha inawaka ila haionyeshi kwenye display
Habarini ndugu zangu,
Mimi nina laptop yangu nimeweka Windows 7 sasa tatizo linakuja kuwa kila nikiiweka Start Windows Normally halafu nika connect na chaji kwa pamoja inakuwa kama ina start...
Waungwana,
Ninahitaji ku-update ios ya Ipad Air kutoka 6.1.2 Version kwenda Version za juu kwa maana ya 7 au 8.1
Nimefuata procedure za kawaida za ku update but inashindikana. Nina click...
Wadau wa JamiiForums naomba mnijuze au mnipe wavuti wa kutazama online football especiaally uefa leo.
Natanguliza shukrani zangu kwenu greats thinkers.
Wadau naombeni msaada,
Kwa mwenye nayo, au namna ya kuweza kuipata, nnliwasiliana na jamaa wa NECTA wakanambia inapatikana kwenye website yao, nimefatilia sana lkn wapi.
Natanguliza shukran.
Habari wakuu wajukwaa hili,
Mimi nipo hapa kutaka kuhabarishwa kujua fedha itakayotumika kununua solar itakayoweza kukidhi mahitaji yangu ya computer moja pamoja na radio subwoofer moja, computer...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.