Mahesabu
JF-Expert Member
- Jan 27, 2008
- 6,762
- 6,856
Habari za majukumu wakuu, nina Samsung Galaxy Note 10.1,
1. toka jana (16 febr 2015) imeleta mistari inayocheza cheza na kama mawingu vile kwenye screen. Nimejaribu kufuta application zote na media files zote lakini bado hali ni ile ile
(jana nilijaribu kufuta adobe ikarudi normal kwa kama masaa mawili kisha ikajirudia). pia nimejaribu ku install AVG ANTIVIRUS na ku scan lakini bado. NAomba kusaidiwa utatuzi.
2. kwenye same device inashindwa ku play video hasa za facebook. inasema install adobe flash player. ukijaribu ku install inasema your device do not support
MSAADA WANATEKNOLOJIA