mkuu tofauti ipo mm ukitoa hayo maneno ya voxy na noah nazitambua vizuri sana.
na kunauzi humu lilishazungumzwa sana hili mbona.
tofauti ni kwenye body tu ila vingine vyote ni sawa.
tofauti zenyewe ni kwenye show ya mbele ukiangalia taa za voxy zile taa za pembeni endicator utakuta kuna ufito umepita ila ya noah haina ufito huo.
na body ya voxy imekaa kimayai zaidi ya body ya noah ila engine sijui gearbox vyote vipo sawa kabisa.
na hata ndani voxy inaonekana kama inanafasi zaidi ya noah.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.