Pakua app ya Biblia ya kiswahli Android store

Pakua app ya Biblia ya kiswahli Android store

NullPointer

JF-Expert Member
Joined
Feb 7, 2011
Posts
3,461
Reaction score
2,284
Weekend hii nlikua natafuta biblia ya kiswahili Android store nikakuta kama 5 hivi zote zinafanana Interface nikahisi wote watakua wamechukua code somewhere na kubadili kitu basi nimetengeneza moja ambayo iko tofauti kabisa fastafasta.

Interface tofauti, kuna option pia ya kusoma usiku inabadili background kua black, inakubali ukiwa ndani ya chapters.
Ni offline bible, manake ukiishaidownload mara moja haitohitaji internet, unaweza kusoma muda wowote hata pasipo internet

Pakua hapa

Naomba mnipe feedback kama inapiga mzigo vizuri kwenye simu yako ili nifix bugs zozote zitakazojitokeza, na je iko responsive? interms ya speed, mfano menu kufunguka kama inafunguka fasta au inakwamakwama.

Pia ungependa kuona ninaongeza features gani? Nikiwa na muda nitajitahidi kufanya updates on weekends.
Nitaapreciate rating na comment pia kwenye play store
 
Dreson4

Try to modify it iwe na uwezo wa kusave chapter automatically baada ya kuifungua kusoma.....for instance nkifungua lets say mathew 10:....iweze kusave ili niweze kusoma l8r.....cz you may find zt church wanasema leo injili inatoka mathew 10:

and me nataka kusoma l8r n nataka kuavoid complicAtions za kunote somewhere kwa kutype or kuandika na pen.....

So zs cn help,
 
Last edited by a moderator:

Ahsante mkuu kwa ushauri, kwa kua ni toleo la kwanza ntajitahidi kuongeza updates na features kufuatana na comments.

Ningependa kujua speed yake kama iko poa? na muonekano unauonaje?
 
Last edited by a moderator:
Kwa testers, comments za utendandaji kwanza hala ubarikiwe ije kwa chini yake
 
Downloads nyingi lakini ratings kwa watanzaia ni kazi kidogo
 
Nimefanya quick update ya app, nimefix some bugs ilikua inasumbua kufunguka kwenye some android earlier versions.
 
Back
Top Bottom