Naitaji kufahamu Website hosting inaweza ghalimu kiasi gani cha pesa kwa mwaka?!
Na nisaidie server zipi zipo vizuri katika kuhost site zikiwemo za Tanzania na za nje ya Tanzania.
Naitaji kufahamu Website hosting inaweza ghalimu kiasi gani cha pesa kwa mwaka?!
Na nisaidie server zipi zipo vizuri katika kuhost site zikiwemo za Tanzania na za nje ya Tanzania.
yatosha is the best in tanzania awe reseller au lah. na sidhani kama ni reseller maana bei zao ukiwa reseller sidhani kama anapata kitu. pengine wenyewe watujuze zaidi
Inategemea sana, hakuna bei ya jumla, kila server ana bei zake. Kinacho-determine bei ni file size ya hiyo website yako na idadi ya watembeleaji utakaokuwa unapata (bandwidth).
Hosting companies walio wengi ni wazuri ila angalia vitu vifuatavyo; customer care yao ipoje hapa namaanisha urahisi wa kuwafikia na wao kukujibu haraka, pili namna ya malipo hivyo kama utampata anayekuruhusu ulipie kwa M-Pesa/Tigo Pesa huyo atakuwa mzuri zaidi hasa kama upo Tz
Kama kiingereza siyo shida sana kwako unaweza kujinunulia server yako mwenyewe.
yap. ni reseller hapa bongo hakuna server..
yatosha is the best in tanzania awe reseller au lah. na sidhani kama ni reseller maana bei zao ukiwa reseller sidhani kama anapata kitu. pengine wenyewe watujuze zaidi
Tanzania bado hakuna webserver... wote wanao host hapa tanzania ni resellers (mawakala) .
Hosting ina range kwa wastani wa sh 50,000/- na kuendelea kwa mwaka.
Angalia link hizi.
technoclicktz.net
extremewebtechnologies.com
infocom.com
Hapo unakosea mkuu, kuna watu wana server na wanazi manage hapa hapa Tanzania. Check out kampuni inaitwa IT Farm
Tusipende kujidhalilisha bila kufanya research ndio maana IT haithaminiwi sababu sisi wenyewe hatujithamini

Fadhili Paulo,
Kuna swala la monthly bandwidth , hard disk space , idadi ya email accounts pamoja upatikanaji wa server bila kuwa down pia na webservice zingine ikiwemo securities and built in softwarr like fantastico deluxe etc.
kuhusu virtual server hiyo ni sawa tena kampuni nyingi wanazo.
kwa hapa bongo... file server zipo nyingi , email server zipo nyingi, application server zipo nyingi.. lakini WEB SERVER labda zile za personal ambazo sio za kibiashara.
unapozungumzia virtual server hii sio real server its ideal server . server ambayo sio physical sio tangible. Na kama unayo virtual server iliyopo i.e israel basi wewe umehost israel na huyu mwenye hiyo virtual server amepewa access ya sehemu ya ile server na pia kuna wengine pia wamepewa sehemu ya access ya server hiyo.