Kudownload video youtube kwa kutumia Huawei y 300

Kudownload video youtube kwa kutumia Huawei y 300

Linamo

JF-Expert Member
Joined
Jan 12, 2011
Posts
9,974
Reaction score
24,504
Naomba msaada kwa anaye jua jinsi ya kudownload video iliyoko youtube kwa kutumia Huawei y 300 anijulishe.
 
Kwanza cm yako inatakiwa ujiunge na intanet isiyo ya kupeluzi Bali kuna kivulushi cha kudownload ukijiuga na I cha basi unaweza kudownload
 
Pili download application inayoitwa tubemate utaweza kudownload video yoyote toka YouTube
 
Ingia Google play ..search Videoder application, then download io application utaenjoy inachukua YouTube video unayoitaka
 
Kwanza cm yako inatakiwa ujiunge na intanet isiyo ya kupeluzi Bali kuna kivulushi cha kudownload ukijiuga na I cha basi unaweza kudownload

we b.we.ge nini ? KUPELUZI . KIFULUSHI. when will you learn. kutamka l badala ya r ni kosa la wazazi wako. kuandika nako tuwalaumu wazazi ?
 
za mida wanajamii. samahani simu yangu aina ya huawei y300 ukiwashwa inaishia kwenye huawei ascend. hali hiyo imeanza baada ya kufanyiwa hard reset
 
Back
Top Bottom