Laptop yangu haitoi sauti Toshiba

Tekenya

Member
May 24, 2011
67
9
Wadau naomba ushauri, toshiba yangu ilianza kwa kukoroma kwa spika na sasa haitoi sauti kabisa, sababu yaweza kua nin? maana uzoefu na haya mambo sina kupeleka kwa mafund wetu hawa naogopa, naomben ushauri, nifanyeje.
 
Sasa hao mafundi unaoogopa ndio sisi hapa na huku jf tupo teh teh teh.

Fanya hivi chunguza ina kuwaje ukipachika headphone?
 
Ushasema spika ilianza kukoromo that means ilikua inaku alert tatizo so baada ya mda imezima na hausikii sauti that means si tatizo la sound drivers either speaker mbovu au sound card check na KVD kama upo Dizimu.
 
Sasa hao mafundi unaoogopa ndio sisi hapa na huku jf tupo teh teh teh.

Fanya hivi chunguza ina kuwaje ukipachika headphone?

headphone zinafanya kazi freshi. tatizo ni speaka hazitoi sauti
 
JF fundi wa gomputer anasema Hicho kitakuwa kikohozi tuu
fasta kawaone wanauza gomputer mpya ununue na kuachana na hiyo kwani mda si mrefu itazima kabisa
 
Mimi ni mtaalamu aliyebobea kwenye masuala ya Electronics repair pamoja na ICT! Ukienda kwenye wesite ya ZOOM TANZANIA chini ya Electronics repair specialist utakuta details zangu na kama upo Dar itakuwa rahisi kwani tunaweza kuwasiliana ukaileta tuikarabati bila uswashili. Karibu...
 
Na mimi toshiba yangu iliungua IC zinazopeleka moto kwenye HDD na CD ROM. Tiba yake inaweza kureplace au ni kununua motherboard yote? Na kwa kiasi gani?
 
Back
Top Bottom