Nitawezaje kuunganisha computer zaidi ya moja kwenye printer moja?

Nitawezaje kuunganisha computer zaidi ya moja kwenye printer moja?

mansakankanmusa

JF-Expert Member
Joined
Sep 30, 2010
Posts
4,161
Reaction score
802
Wakuu nataka kuunganisha computer mbili zitumie printer moja.

Sitaki kuset local network mpaka nipate Server.
 
1. Install printer kwa mojawapo ya pc kisha tengeneza crossover cable then connect hizo pc mbili kwa cable hiyo.
2.Create workgroup na kisha enable sharing kwa pc zote.
 
wengine wananambia file sharing, wengine wanasema local network, wengine wanasema niwe na server. sielewi naonba msaada, niweze kuunganisha computer tano ziweze kuprint kwenye printer moja, au hata computer mbili,tatu nk

asanteni
 
Wakuu nataka kuunganisha computer mbili zitumie printer moja.

Sitaki kuset local network mpaka nipate Server.

hakikisha computer husika zinaonana..

install printer kwenye mojawapo ya computer hizo.. nenda kwenye devices and printers then right click printer husika na SHARE..

nenda kwenye computer nyingine RUN \\IP address ya computer yenye printer.

itafunguka folder la shared folder and devices right click hiyo printer and click CONNECT subiri...... imalize
 
IP address naionaje kwenye pc ya kwanza ili nii run kwenye PC #2 , kufafaje kwa computer?
 
kujua ip ya computer..

RUN cmd
then ikifunguka dos weka command hii IPCONFIG halafu press enter.

.utaona mahali IPV4 hiyo ndio ip ya hiyo pc
 
Wakuu nataka kuunganisha computer mbili zitumie printer moja.

Sitaki kuset local network mpaka nipate Server.

mansakankanmusa

Printer ya aina gani?

Mi nilikuuliza unatumia printer gani ili nijue kama ina capabilities za Wireless au LAN port lakini naona umekaa kimya so I suppose Printer yako haina Wireless wala LAN port.

Cha kwanza connect Printer yako na Computer yako ambayo ndio itakuwa main share na hakikisha hiyo computer imeweza kuprint.

Kisha ingia kwenye Devices & Printers, right click kwenye printer unayotumia kisha select share.

Lastly, Kama hiyo computer uliyounganisha na print ina Wireless capabilities then Download mhotspot software ambayo itasambaza Wifi signa kwa computer nyingine zinazotaka kuprint. Kama haina Wireless then tumia crossover cable.
 
Back
Top Bottom