Ileje
JF-Expert Member
- Dec 20, 2011
- 8,798
- 12,240
Katika simu yangu aina Tecno Phantom Z nime-download applications nyingi na sasa inaniambia hakuna nafasi ya kutosha (insufficient space) ninapotaka ku-update hizo applications.
Kinachonisumbua ni kuwa niki-check storage napata information ifuatayo:
1. internal storage:Total space = 0.98GB; Available = 65.25MB
2. SD CARD: Total space = 7.19GB; Available = 4.89GB
3. Phone Storage: Total space 1.62GB Available = 1.57GB
Tafadhali naomba ye yote mwenye ujuzi anisaidie ni kwa namna gani naweza kuhamisha applications kutoka internal storage kwenda SD card au phone storage ili kupata nafasi ya kutosha katika internal storage na applications hizo ziendelee kufanya kazi!
Natanguliza shukrani zangu!
Copy: Paul S.S

Last edited by a moderator: