Nahitaji Software Developer

Mtanganyika

JF-Expert Member
Jul 18, 2007
1,601
945
Wakuu nina kiaidia mshenzi ambacho nataka kukifanya. Lakini sina ujanja na software development hivyo namsaka mwenye ujuzi huo.

Tafadhali kama una ujuzi wa software development na una experience ya kutosha basi hii inakuhusu. Mpango sio nikupe ajira lakini tukae chini tuone kama tunaweza kuwa partner na mimi nitakupa vision na jamaa wengine ambao watatusaidia.

NB: Lazima ukubali kusign NDA (Non-disclosure Agreement).
 
Kuna kampuni itafunguliwa Tanzania na moja ya kazi itakuwa hiyo.

Unataka hizi program zitumike wapi? Wasiliana na mimi kwa email: Ssambali@hotmail.com

Kaka Stambuli ninayo kampuni ambayo ninafanya majadiliano nayo wapo nje ya Tanzania. Shida yangu ni kutengeza SOW na huyu developer awe ananiguide kimwelekeo kwenye coding language.

Pili yeye ndio atakuwa anachukua madaraka kutoka kwa hii kampuni inayofanya development. Hivyo nataka mtu ambae ana ujuzi wa software development, amesha tengeneza several firmware, anajuzi wa debugging na anaelewa hardware components.
 
Nimekuelewa, asante. Anyway, hii kampuni na wao wapo nje ila wanataka kwenda kabisa Tanzania ingawa wao watajikita kwenye kitengo kingine ambacho sintakitaja kwa sasa. Ingelikuwa imeshaanza, basi ningelishauri kuunga nguvu ili kuwa kali zaidi kushindana hadi nvhi jirani.

Kila la kheri.

Back
Top Bottom