Date & Time Error kwenye whatsapp, naomba msaada

Date & Time Error kwenye whatsapp, naomba msaada

tuwe wakweli

JF-Expert Member
Joined
Feb 15, 2014
Posts
223
Reaction score
59
Msaada wenu tafadhali wataalamu,simu hii ilikuwa inasapoti whatsapp,lakini nilipoirestore ikawa nikitaka kuidownload inagoma na inasema muda sio sahihi, hivyo niurekebishe kwanza,lakini hata nikirekebisha kisha nidownload bado inasema muda sio sahihi.

Tatizo ni nini ndugu zanguni? maana nimeimiss sana.
 
SIMU NI TECNO P3,

Nikifungua whatsapp inasema nirekebishe date and time. Nimerekebisha lakini bado inagoma na inaendelea kusema nirekebishe wakati date and time viko correct. Nimejaribu ku-unistall lakini inakataa. inasema can not remove syteam application.

MSAADA WAKUU NIFANYAJE ILI HII KITU IFANYE KAZI.
 
Hayo ndiyo majanga ya tecno, jaribu kuuninstal na kuinstall upya itakubali
 
Hayo ndiyo majanga ya tecno, jaribu kuuninstal na kuinstall upya itakubali

Tatizo ku-uninstall inagoma. natumia tecno p3. hii whatsapp siyo ya kudownload ni ya humu humu kwenye simu
 
Back
Top Bottom