mkorinto
JF-Expert Member
- Jun 11, 2014
- 32,095
- 39,619
Samahanini wajuvi wa simu.
Hivi kuna namna yoyote ya kuongeza sauti(media player)kwenye simu ya android.kwa maana ya application inayoweza kuboost sauti ikawa juu.tofauti na ya simu husika unaposikiliza audio kwa kutumia earfone.
Maana nimetokea bb sikuwahi kuboreka,sauti juu mpaka napunguza.
lakini hii android sasa naona inanikosesha amani sauti chini mno nakosa mzuka.
Wakuu-@chief mkwawa@secret service.
Na wengineo msaada tafadhari.