Nitawezaje kuweka matangazo kwenye blog?

Nitawezaje kuweka matangazo kwenye blog?

Ngamba

JF-Expert Member
Joined
Jun 6, 2013
Posts
752
Reaction score
154
Naomba mwenye kujua jinsi navyoweza kuwaka matangazo kwenye blog yangu.

Naomba anisaidie na huo ujuzi.
 
Toa maelezo ya kutosha! Haujui kuweka matangazo kwa blog yako? Unataka ufahamishwe namna ya kupata watu wa kutangaza kwa blog yako au unataka usaidiwe jinsi ya kupata matangazo ya google(google adsense) kwa blog yako.

Ukiweza kuweka sawa utapata msaada kirahisi.
 
Back
Top Bottom