Matatizo ya Slimkat Rom &whatsapp

Matatizo ya Slimkat Rom &whatsapp

Raaj

JF-Expert Member
Joined
Feb 10, 2013
Posts
205
Reaction score
29
Ndugu wana jf natumia simu aina ya huawei ascending y300 nili root na kuweka custom ROM ya slimkat sasa nimedownload whatsapp kwenye play store baada ya Ku install ikanambia kwamba slimkatrom has problem with whatsapp .Naombeni msaada wenu nahitaji kuwa na whatsapp lakini pia sihitaji kuitoa hii ROM
Asanteni
 
whatsapp hutoa warning kwa custom rom zote. ukibonyeza ok haifany kazi?
 
whatsapp hutoa warning kwa custom rom zote. ukibonyeza ok haifany kazi?

Asante Chief Mkwawa imekubali,lakini pia inambia slimrom update available Niki I update haiwezi leta tatizo??
 
Asante Chief Mkwawa imekubali,lakini pia inambia slimrom update available Niki I update haiwezi leta tatizo??

sifahamu kaka sijawah itumia. jaribu kuangalia review online za wenzako wenye rom sawa na wewe
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom