Jinsi ya ku-upgrade android OS

Jinsi ya ku-upgrade android OS

WENYELE

JF-Expert Member
Joined
Apr 2, 2012
Posts
1,471
Reaction score
1,578
Wabari wakuu
Simu yangu ni Samsung S advance GT-I9070,android version yake ni 2.3.6 lakini nataka kui-upgrade mpaka android version 4.2.
Je,natakiwa nifanyaje ili ni upgrade na kuna madhara yoyote naweza nikayapata nikifail ku-upgrade vuzuri?
Natanguliza shukrani kwenu wakuu.
 
Samsung huwa wanatoa updates zao ukienda kwenye setting na check for updates..!! Kama huta pata updates jua simu yako haiwezi kuwa upgraded to a latest os.
Pia waweza angalia mahitaji ya os unayoitaka yanaweza ku run kwenye simu yenye specification zipi na kama simu yako inakidhi hivyo..!!

*Google that
 
Ndugu WENYELE simu yako inaweza kuwa upgraded mpaka Android v4.12 Jellybean. Kwa kawaida kufanya upgrading kunaleta improvement kwenye performance na muonekano wa device yako. Vilevile utakuta features nyingi mpya ambazo zinekuja na version.yako mpya ya Android. Ni mara chache sana simu itafail kuupgrade. Sababu za kufelisha zinakuwa kama kuisha charge kwa simu katikati ya installing/upgrading process ambayo inasababisha bootloop/simu kudhindwa kuwaka na kubaki ime-stuck kwenye boot animation. Lakini usiwe mwoga, unaweza ukafanya installation vizuri tu.
 
Last edited by a moderator:
Wakuu mimi nina Galaxy S3. Huwa ina upgrade yenyewe ila of recently imeupdate Samsung Apps mpaka 98% ikagomea hapo yaani ni week sasa. Memory space bado ipo.
 
Naomba Kuuliza wadau kwa wale wenye simu clone aina ya samsung wanaweza kuupdate hizo os zao?na je hizi clone huwa zinadected kwenye laptop?
 
Hivi ipi ni kubwa kati ya Android 4.2 Jellybean au Android 4.4 Kitkat?
 
Tumia hata macho kuangalia mkuu unaweza pata jibu ya ipi ni kubwa kat KIT na JELLY...
 
Kitikat kubwa kaka 4.4. ni kubwa kuliko 4.2 jelly bean, sasa hivi kuna 5.1.1 lollipop.
 
Back
Top Bottom