Tech, Gadgets & Science Forum

Technology based discussions. Computer, Science & Engineering Technology including gadgets and PC Gaming Discussions

On JF:

Anahitajika web designer mwenye uelewa wa hali ya juu kuhusu DRUPAL CMS kwa ajili ya kuongeza features kadhaa kwenye website. Mwenye ujuzi huo tuwasiliane kwa PM au mwenye kumjua mtu wa aina hiyo...
0 Reactions
1 Replies
886 Views
"CTB-Locker Malware Attack! Dear friends, Has anyone experienced this? URGENT HELP NEEDED! Yesterday, i recieved an email via official univeristy student account, with an attachment! When i...
1 Reactions
2 Replies
924 Views
Bongo bwana...sasa ndio nini hii Website ya wizara ya Afya... Na wameajiri watu kwa kazi hii? Hivi kweli hata kama mnatumia CMS, sawa basi hamuwezi kutengeza custom error handlers, ndio...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Hi wana JFNaomba msaada wa Serial Number/Keys za ABBYY Scan to office software, nilidownload trial version sasa inanihitaji ninunue.Yeyote mwenye msaada wa kupata FREE serial numbers please.
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Have you ever heard about Internet of Thing????, Here it comes now you can control every home equipment by using your smartphone,you probably no need to turn of your light switch manually at night...
0 Reactions
0 Replies
658 Views
Jamani wana Jf naombeni mnisaidie, nahitaji kununua computer leo lakini sijajua nianzie wapi? au ninunue computer gani? hivyo basi naombeni mnisaidie wataaalamu ninunue ipi? na ni vitu gani...
1 Reactions
3 Replies
994 Views
Naomba msaada wa laptop yangu ambayo huwa naifungua kwa password. Ghafla password niliyokuwa nukiitumia haikubali. Niliyokwisha fanya ni yafuatayo: 1. Nimehakikisha capslock iko sawa ili nisije...
0 Reactions
7 Replies
1K Views
Wakuu nimeingia jf jioni hii nakutana na rangi nyeusi badala ya ile nyeupe niliyoizoea kwny mobile app. Ni vision mpya au ni simu yangu tu?
0 Reactions
11 Replies
1K Views
zali all white party sasa imekuwa ni talk of the the town,kila kijana anaongelea zali all white party ambayo inafanyika leo pale mlimani city.nimeona isiwe tabu,nimeamua kuwaalika wale vijana...
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Habari wandugu, Natafuta fundi anayeweza kubadilisha wheelchair iwe na motor. If Possible kuifanyia marekebisho mengine madogo madogo. Please kama unamjua mtu anayeweza kuifanya hiyo kazi ni PM...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Naomba wataalam mlio humu jf mnipe utaalamu. Kumtrack Bila kuwa na simu ya muhusika karibu. Nahitaji kufahamu anaowasiliana nao katika whatsapp na fb, maana nnaetaka kumtrack ni mpenzi wangu na...
0 Reactions
19 Replies
4K Views
Naombeni link ya ogwhatsap niweze kuishusha hii yangu imegoma leo nashukuruni sana
0 Reactions
6 Replies
2K Views
wakuu habari ya mei mosi?Naombeni msaada hii huawei flasher v1.6 mbona inastack wakati wa kuflash modem?
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Ninataka kushare printer yangu katika computer 4 ili niweze kuprint nikiwa kwenye computer yeyote.
0 Reactions
3 Replies
3K Views
Naomba msaada wafunguo(key) za Lightroom 5.6 (window version x64 bits) unaweza kuweka hapa au uni PM,natanguliza shukrani.
0 Reactions
0 Replies
592 Views
Naomba usaidizi kwa mwenye kujua funguo(key) za ProShow Producer 6.0 unaweza kuniwekea hapa au uni PM,natanguliza shukrani
0 Reactions
0 Replies
901 Views
Naomba Key za ProShow Producer 6.0 kwa aliyenazo au anajua,natanguliza shukrani,unaweza kuniwekea hapa au uka ni PM.
1 Reactions
0 Replies
869 Views
Nina Top Dell Inspiron, ilikuja na Window Ubuntu, Nilivoitoa kuweka Wndw 7, nikiActivate tu inazima, hata ukuweka window iliyoActivatiwa kabisa inazima jumla, Ila bila Activation inakaa siku 30...
0 Reactions
5 Replies
939 Views
Nisaidien wana jf jinsi ya kufanya receiver mpeg2 mediacom ili kuweza kukamata channel nyingi
0 Reactions
0 Replies
939 Views
Wana jf naomben mnisadie frenq za chanel ten
0 Reactions
1 Replies
968 Views
Back
Top Bottom