Naomba msaada juu ya CTB-Locker Malware

Naomba msaada juu ya CTB-Locker Malware

Msafiri Kasian

JF-Expert Member
Joined
Sep 9, 2011
Posts
2,134
Reaction score
664
"CTB-Locker Malware Attack!

Dear friends,
Has anyone experienced this? URGENT HELP NEEDED!
Yesterday, i recieved an email via official univeristy student account, with an attachment! When i opened it all my files i.e. PDFdocs, word docs, excel docs, powerpoint presentations, photos etc in my computer plus the ones in Dropbox storage were encrypted by CTB-Locker virus! They are all modified into unknow file format, I have no access to anything!
I have tried several online solution to get them back without Success."

Rafiki yangu amekumbana na msala huu, kwasasa anashindwa kuaccess files zake katika kompyuta yake, yeyote mwenye kuweza kumsaidia tafsdhali.
 

Attachments

  • j1.jpg
    j1.jpg
    43 KB · Views: 238
Aiseeee!! Ishu kubwa hii! Alichojaribu yeye ni kipi hasa? System restore? Previous versions of the files? (though CTB inaattempt kuzuia hili)...hana backup?

Amefikiria suala la kuwalipa hiyo ransom?

Try these methods.... http://malwareprotectioncenter.com/2015/02/06/ctb-locker/

Kama all else failed, basi asubiri wataalam watakapoweza kudecrypt files encrypted by CTB Locker. Ila uwezekano ni mdogo mno.
 
Thank you for your concern, ngoja nimwambie afanye kama ulivyosema. Nitamwuliza pia kuhusu maswali yako maana sina hata jibu moja
Aiseeee!! Ishu kubwa hii! Alichojaribu yeye ni kipi hasa? System restore? Previous versions of the files? (though CTB inaattempt kuzuia hili)...hana backup?

Amefikiria suala la kuwalipa hiyo ransom?

Try these methods.... Remove CTB Locker ransomware and recover encrypted personal files

Kama all else failed, basi asubiri wataalam watakapoweza kudecrypt files encrypted by CTB Locker. Ila uwezekano ni mdogo mno.
 
Back
Top Bottom