https://www.jamiiforums.com/tech-gadgets-and-science-forum/837292-huawei-modem-flasher.htmlwakuu habari ya mei mosi?Naombeni msaada hii huawei flasher v1.6 mbona inastack wakati wa kuflash modem?
mkuu nimetry now nimedisable lakini procedures nikizifuata inaniambia ni flash using ressurect mode,so I dont know what to do.