Tech, Gadgets & Science Forum

Technology based discussions. Computer, Science & Engineering Technology including gadgets and PC Gaming Discussions

On JF:

Naomba mwenye kuzielewa hizi gari anipe somo kdgo kuhusu utumiaje wake wa mafuta spear ukimbiaji wake au matatizo yke na uimara wake
0 Reactions
1 Replies
1K Views
microsoft kuja kivinjari chenye corntana.named MICROSOFT EDGE.mwenye kujua feature zaidi afunguke coz window os karibia wananiteka
0 Reactions
2 Replies
838 Views
Jamani Kuna Bwana Mkubwa Ameniomba Ushauri Anataka Akanunue Usafiri Ila Amekataa Verossa,Mark X Kabisa Sasa Anataka Kati Ya Brevis Au Premio Nimshauri Ipi N:B Swala La Mafuta Huyu Bwana Ni...
0 Reactions
7 Replies
4K Views
Wakuu hembu mnisaidie,sijui nini kimetokea kwenye Computer yangu. Nikifungua google inafunguka kama kawaida,lakini kuna muda nimefungua hotmail imekuja erro hapo chini. Nipeni njia,maana siwezi...
0 Reactions
0 Replies
761 Views
Wakuu hembu mnisaidie,sijui nini kimetokea kwenye Computer yangu. Nikifungua google inafunguka kama kawaida,lakini kuna muda nimefungua hotmail imekuja erro hapo chini. Nipeni njia,maana siwezi...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Habari wakuu.Yani hawa jamaa sijui wataamka lini kwenye kitengo chao cha internet.Nimenunua bando la mwezi juzi, ile kuanza ku surf JF nkakutana na spidi ya kobe balaa,nika jipa moyo labda...
2 Reactions
11 Replies
2K Views
Habari zenu wakuu, naombeni msaada kwa yeyote mwenye uelewa anipe muongozo, nna huawei p6 updated to kit kat, nlii root kupitia twrp so mpaka sasa simu ina twrp recovery, sasa nataka niweke miui...
0 Reactions
6 Replies
2K Views
Heshima kwenu wakuu, Ulizo langu kwenu kuna uwezekano wa kuweka android inayosuport google services maana hii hakuna kitu... aliejaribu atumwagie ushuhuda
0 Reactions
7 Replies
2K Views
Mpaka Sasa Sijajua Nikanunue Ipi Jamani Wana IT Msaada N:B Ni Mlevi Mzuri Wa Social Network i.e Instagram,Jamii Forum
0 Reactions
14 Replies
2K Views
Habari! Nina samsung galaxy tab 10.1 inashindwa kusoma line ya simu na ukiangalia kwenye settings hakuna option ya mobile network. Nimejaribu kuireset lakin tatizo bado liko vilevile.. naomba...
0 Reactions
0 Replies
748 Views
Wakuu naomba kujuzwa namna ya kudownload nyimbo mbalimbali na kungalia you tube anonymously. CC snipa, Njunwawamavoko
0 Reactions
0 Replies
3K Views
Microsoft's annual Build conference in San Francisco has, in recent years, become the place for product announcements, but there have been few surprises -- until now. Today's three-and-half-hour...
1 Reactions
0 Replies
922 Views
Habari wakuu,.. mwenye product keys za ku activate business in box software naomba anisaidie,..
0 Reactions
0 Replies
837 Views
wataalam nimenunua strong receiver srt 4922A,sasa nataka kupata channels za mpira katika eutelsat 7e kupitia channel za aljazeera au irib katika arabsat 5A @ 20'E,nifanyeje wakuu
0 Reactions
4 Replies
2K Views
kiujumla wengi wetu tunatumia Android phone ingawa c 100% ila wengi wao wapo na android phones.. Hivyo nimeona ni bora kuanzisha hii mada ili kila mwenye tatizo la android phone aweze post na...
0 Reactions
88 Replies
15K Views
Hello Bandugu, Week moja iliyopita nilitoa Tangazo la Kutafuta MacBook Pro, lakini ni mtu mmoja tu alienitafuta na bei yake ilionekana kuwa kubwa sana. Hivyo nimebadili sasa nataka Acer Aspire...
0 Reactions
0 Replies
779 Views
Hiv ni application gan ambayo iko vizur xn kwa ku edit picha? nataka ambayo ni the best
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Habari, Naomba msaada wa kujuzwa apps ya kuangalia live futball match
0 Reactions
10 Replies
2K Views
Naomba mwenye program ya aina hii print hp laserjet 1010 naomba msaada
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Wana jf ,habarini za asubuhi,Jana walinipitia vibaka wakanikwapua simu mbili,ikiwemo ipad moja ambayo ni android,mwenye utaalamu wa namna ya kuitress tafadhali
0 Reactions
11 Replies
1K Views
Back
Top Bottom