Laptop yangu inakataa password yangu

Laptop yangu inakataa password yangu

PARADIGM

JF-Expert Member
Joined
Sep 9, 2014
Posts
2,774
Reaction score
1,830
Naomba msaada wa laptop yangu ambayo huwa naifungua kwa password. Ghafla password niliyokuwa nukiitumia haikubali. Niliyokwisha fanya ni yafuatayo:
1. Nimehakikisha capslock iko sawa ili nisije nikawa ninaandika herufi kubwa. imeshindikana.

2. nimetoa battery usiku mzima. nikarudisha tena lakini imegoma.

3. Inanitaka kureset password lakini niwe na flash na nimefanya ila haikuwezekana.

Naomba mnishauri la kufanya niweze kufungua laptop yangu.
 
Vipi mkuu, una DVD ya windows 7 karibu ili niweze kukusaidia?
 
hautumii windows 8 au 10? kama login yako imetokana na email then ukachange pass ya email basi hata pc inachange
 
hautumii windows 8 au 10? kama login yako imetokana na email then ukachange pass ya email basi hata pc inachange

Ni kweli pass yangu ya email ndo hiyo ya kufungulia laptop lakini sijabadili. Halafu yangu ni window 7.
 
ungekua nayo ningekusaidia kureset password. Ningekushauri kama mmiliki wa computer uwe na hifadhi ya software mbalimbali ikiwemo windows kwa kuwa majanga hutokea bila kubisha hodi.
 
ungekua nayo ningekusaidia kureset password. Ningekushauri kama mmiliki wa computer uwe na hifadhi ya software mbalimbali ikiwemo windows kwa kuwa majanga hutokea bila kubisha hodi.

ahsante kwa ushauri. ngoja nimuombe aliyeniwekea program kuona kama itaweza pata.
 
Jaribu uwe connected na internet wakati wa kuweka password
 
Back
Top Bottom