Msaada: Jinsi ya kushare printer

Msaada: Jinsi ya kushare printer

KAKA YAKO NAPITA

JF-Expert Member
Joined
May 16, 2014
Posts
1,322
Reaction score
233
Ninataka kushare printer yangu katika computer 4 ili niweze kuprint nikiwa kwenye computer yeyote.
 
ninataka kushare printer yangu katika computer 4 ili niweze kuprint nikiwa kwenye computer yeyote.


Make sure computer husika zinaonana, kama unatumia win 7 or above, enable advanced sharing feature. Katika computer yenye printer nenda kwenye DEVICES AND PRINTERS na SHARE printer husika. Hakikisha unafahamu IP ya computer hiyo yenye printer. Nenda kwenye computer nyingine unayotaka ku connect printer, open RUN then weka kwenye field \\"IP address ya computer yenye printer". Press enter and see the target printer, right click and connect
 
ymollel asante sana,je nikitaka kushare bila kuattach computer moja kwenye printer inawezekana?
 
ymollel asante sana,je nikitaka kushare bila kuattach computer moja kwenye printer inawezekana?


Inawezekana lakini sio kila printer inafaa. Printer zinazofaa kushare kwenye network bila ku attach kwenye computer kama server, ni zile printer zinazo support ethernet, wireless,bluetooth au zenye parallel port.

Hizo printer zenye ethernet port/📶 wifi support zinatumika kwa kuziunga kwenye network husika na utaweza ku access kwa kupitia IP address zake.

Printer yenye PARALLEL port inaweza kutumika kwenye network moja kwa moja endapo utatumia kifaa kinaitwa PARALLEL to ETHERNET converter.

Printer zenye bluetooth pia zinaweza kutumika direct endapo unatumia computer 💻 yenye Bluetooth .
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom