Tazama website ya Wizara ya Afya ya taifa hili

Tazama website ya Wizara ya Afya ya taifa hili

ISO M.CodD

JF-Expert Member
Joined
Feb 17, 2013
Posts
8,143
Reaction score
17,639
Bongo bwana...sasa ndio nini hii

Website ya wizara ya Afya...

Na wameajiri watu kwa kazi hii?

Hivi kweli hata kama mnatumia CMS, sawa basi hamuwezi kutengeza custom error handlers, ndio mshindwe hata kubadilisha error reporting settings kwenye production server? A single line of code, kweli?!!

error_reporting(~E_ALL);

Bora ingebaki blank kuliko kureveal details kiasi hichi.

I bet it was way too easy kwa Genius Jordan kuhack hii site.
 
Sometimes we make the job way too easy for them
 

Attachments

  • 1430557104987.jpg
    1430557104987.jpg
    42.4 KB · Views: 134
Tanzania ni zaidi ya uijuavyo mkuu. Sasa hivi wahusika wako majimboni kwenye kampeni za chini kwa kwa chini.
 
Back
Top Bottom