Don Mangi JF-Expert Member Joined Nov 1, 2010 Posts 2,199 Reaction score 855 May 1, 2015 #1 Habari wandugu, Natafuta fundi anayeweza kubadilisha wheelchair iwe na motor. If Possible kuifanyia marekebisho mengine madogo madogo. Please kama unamjua mtu anayeweza kuifanya hiyo kazi ni PM nipate na gharama zake. Nitashukuru. Asante.
Habari wandugu, Natafuta fundi anayeweza kubadilisha wheelchair iwe na motor. If Possible kuifanyia marekebisho mengine madogo madogo. Please kama unamjua mtu anayeweza kuifanya hiyo kazi ni PM nipate na gharama zake. Nitashukuru. Asante.
twatwatwa JF-Expert Member Joined Sep 19, 2011 Posts 2,066 Reaction score 422 May 1, 2015 #2 tufuta fundi mtundu mwelekeze unavyotaka mnaweza fanikiwa pamoja