Tech, Gadgets & Science Forum

Technology based discussions. Computer, Science & Engineering Technology including gadgets and PC Gaming Discussions

On JF:

Wakuu habar! Nahitaji kufaham kama hii vodafone vf685 naweza kui root! Maanake nimejaribu one click, framaroot na towelroot bila mafanikio..nawasilisha
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Kama ulipata msongo wa mawazo baada ya ogwhatsapp kuwa ya developer kushindwa kuendelea kufanya mautundu yao, kaja tena huyu app anaitwa whatsFapp anakuwezesha kutumia namba tatu za whatsapp...
2 Reactions
16 Replies
2K Views
Nataka tu kufahamu kama mtu akibadili laini, je TCRA au mtandao wa simu kama Vodacom, Tigo, Airtel wanaweza kujua location yako...I mean umenunua laini mpya na ukasajili jina tofauti lakini simu...
0 Reactions
7 Replies
2K Views
Nina simu yangu aina ya brackberry q 10 imeziba ghafla ikiwa kwenye charge fundi wa hapa mtaani kaingalia tu kasema hii haiwezekani, msaada anaejua fundi wa simu hizi anijulishe nipo dar es salaam
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Habari wakuu nadhani baadhi yetu tunaijua ogwhatsapp kam mbadala wa kutuwezesha kutumia namba mbili kwenye simu moja... Naona toka majuzi imekua ikitoa notifications za ita expire baada ya siku...
2 Reactions
78 Replies
11K Views
Je Unamfahamu huyo Jamaa? Yeye anajiita ChuraJasusi. Wacha nielezee tabia za Huyu Jamaa. TABIA 1.ChuraJasusi anapenda sana Microsoft os kama windows xp, windows 7 na 8...
0 Reactions
2 Replies
997 Views
Ivi hii habari ni kweli jamani? Did you hear about new Apple Store? They have a promotion where you could win an iPhone6! Visit their award centre website -->>...
0 Reactions
4 Replies
7K Views
Angalia video hii , kuhusu uchambuzi mfupi kati ya WP and AndroidPhone https://youtu.be/KXjPYCs8bQc
0 Reactions
0 Replies
1K Views
wakuu habar zenu!!! nataka nitumie app za windows kwenye os ya linux,nitumie njia ip kla nikiinstall znagoma.mwenye ujuzi anajuze plz
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Habarini ndugu , ningependa kujua kama kuna mtu yeyote anaprovide hii service au kama unamjua mtu yoyote naomba tafadhali unisaidie, nahitaji hii huduma Ahsanteni , na siku njema
0 Reactions
6 Replies
2K Views
Wakuu poleni na majukumu Shida ni kwamba natumia galaxy s4 gt i9505 jana nikawa najaribu kuingiza apps za kuroot simu yangu ila sikufanikiwa sasa leo asubuh naamka na sim ilikua on nakuta volume...
0 Reactions
19 Replies
2K Views
wakuu habar zenu!!! nataka nitumie app za windows kwenye os ya linux,nitumie njia ip kla nikiinstall znagoma.mwenye ujuzi anijuze plz
0 Reactions
2 Replies
839 Views
naomben msaada wana jamvi nina huawei tajwa hapo juu screen yake ubazi mmoja hai respond ubazi mwingine uko poa nani anaweza nipatia soln 0715661861
0 Reactions
0 Replies
602 Views
I need your hell guys my laptop is Toshiba has window 8 so I need to activate it, I already have an activator the issue is coming in the product keys of an activator Can you help me to have that...
0 Reactions
2 Replies
943 Views
Msaada wakuu laptop haina sauti, kwenye icon ya voice imeweka red X.nmejaribu Ku update drivers bado..ila pia nikijaribu kuangalia device manager sioni driver yoyote ya Sauti. laptop ni Toshiba...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Kwa wale wadau wa GTA V PC, wapi bongo naweza kununua hili game?
0 Reactions
0 Replies
810 Views
Wakuu,Naombeni ushauri ,nimetengeneza mtandao wa kijamii wenye mazingira mbalimbali kama vile,Habari kwa ujumla,forum,Mtandao na Link ya ajira,Ikiwa kama ni wataalamu naombeni ushauri wa kimawazo...
1 Reactions
5 Replies
1K Views
Mimi Nina com ya itel1501,Nina tatizo la kushindwa kudaunilodi picha za vdo kutoka fb,naombeni msaada. ...
0 Reactions
3 Replies
987 Views
Tarehe 28, Aprili 2015 ndio tarehe rasmi iliyotangazwa LG G4. Specifications peke yake hazitoshi kusema kuwa simu itafanya vizuri kwenye maisha halisi. Ila kama ni trend au muendelezo wa LG G2 na...
1 Reactions
11 Replies
3K Views
Jaman naombeni mnitumie link za scholarship ili ni apply mwaka huu Natanguliza shukuran kwenu, asanten sana
0 Reactions
0 Replies
580 Views
Back
Top Bottom