Jus post your IMEI and i'll post you the UNLOCK CODE right here or through PM if you prefer. How to go about after th@? Insert any other SIM in your modem and it will ask for a unlock code and you...
Naomba mssada jinsi ya kudelete hili file \Program Files\Cyti Web\bin\09c3ffd6f1a34fde86e1d448e8559c21.dll;
Kila nikidelete lina kataa ni scan linakuwa detected na disinfection inafail naomba...
Nimerudi tena tangu wiki iliyopita niliomba msaada lakini naona mmenichunia hakuna hata mmoja aliye nisaidia tofauti na wengine wakiomba msaada wanasaidiwa
Narudi naomba nisaidieni ni wiki moja...
Habari ndugu wana jf baada ya kujipanga kwa muda mrefu hatimaye nimefanikiwa kununua laptop kutokana na ukosefu wa umeme nataka kununua betri ya gari na inverter halafu natumia kama source of...
Kwa Hii error ya IDM nahisi wame fix uchakachuzi wa aina yoyote nime download all latest crack files za torrent lakini bila bila
Nimefuta previous keys kwenye Registry lakini bado bila bila,mwenye...
Habari ya wadau kama kawa katika pekupeku zangu nikakutana na hii launcher.
Kwa kweli nimeipenda kwa kiasi chake kwani ka-Huawei Y300 kangu kanazidi kua katam zaidi ya mcharo ....
Launcher...
Nina simu yangu aina ya iphone 4, inakamata mtandao nikiwa sehemu zenye mnala wa lain husika... Naomba msaada kama kuna mtu anajua tatizo laweza kuwa ni nn... 😿🙏🙏
Au kama...
binafsi nmekuwa ni mtumiaji mzuri sana wa internet ya AIRTEL. katika mitandano ya simu hawa wamekuwa na internet yenye speed ukilinganisha na nyingine nying. lakini kwa masikitiko makubwa VIRUSHI...
Hello,
Photocopier machine yangu RICCO AFICIO MP 3045 inaniletea error message "the cover is open as shown. Close it".
Inaonesha kuwa cover ya upande wa kulia pembeni juu iko wazi lakini...
Habari wakuu,
Nimenunua simu mpya Nokia lumia 532, internet nimeset vizuri na ina operate kama kawaida, nimeshindwa kuweka whatsapp na software zingine kama vile youtube, twitter, instagram na...
Hii laptop tatizo lake ni kwamba ikisha waka baada ya sekunde chache ina badilika nakudisplay mwanga tofautitofauti kama slide halafu inajigawa Mara mbili kwahiyo siwezi kufanya chochote some time...
moniter yangu ya lcd imekutana na tatizo.in tabia ya kuwaka na kujizima mara kwa mara ndani ya dakika 5 inafanya hivo hata mara 5 au 7,kwa mujibu wa fundi niliyempa aicheki tatizo kaniambia kuwa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.