habar wakuu naomba kujuzwa namna gani ninaweza fanya ili bundle langu la kwenye simu nitumie kwa ajili ya pc kama wireless PC YANGU NI DELL NATUMIA WINDOW 7 NA SIMU NI TECNO M3
Natanguliza...
Habari wanajamii, pole kwa wale wote mlio athirika kwa namna moja au nyingine kutokana na mgomo wa madereva hope now mpo majumbani mmetulia.
Niende kwenye point Naomba mwenye licence key za...
Wakuu msaada please..!! Batani zangu za Pc zina staki(zinakataa kufanya kazi) moja baada ya moja kila baada ya muda. Tatizo ni nini?? Kuna namna ya kutatua tatizo au ninunue keyboard nyingine...
Nimeinstall WhatsApp+ Reborn, kila step nimemaliza but nashindwa kutuma wala kupokea ujumbe.
Nimejaribu kuomba nitumiwe text, kwa mtumaji inaonekana text imenifikia lakini kwangu nashindwa...
Halloo JF. Naulizia kwa mwenye ufahamu kusuhu suala la polishing/waxing rangi ya gari. How long does it last? Does it affect the car paint? Nimepata scratches kwenye some parts of the bonnet...
Habari wa wkuu!
Nna Huawei mobile wifi lakini inaoparate line ya voda pekee, msaada tafadhali ni jinsi gani naweza ku_unlock ili niweze kutumia na mitandao mingine.
Thankyu!
Hi guys,
Naomba msaada, juz nikiwa natembea kwa miguu maeneo ya Mwenge Sokoni nimedonndosha funguo ya Gari pamoja na ya ofisi. Mvua ilikuwa inanyesha sana. Je, kuna mtu anayeweza nisaidia namna...
Habari za J2 wakuu. Kuna mtu mwenye laini ya voda nampigia simu tangia wiki imeanza naambiwa mtumiaji wa simu unayempigia anaongea na simu nyingine au simu iko bussy. Je ni kweli simu ikawa bussy...
Wataalam wa jukwaa hili naomba kuelekezwa online tv ikoje ikoje?
halafu kama nina apps nataka watanzania waitumie ikiwezekana wailipie
nafanyaje fanyaje......ningependa kuelekezwa kwa kutumia...
Wadau naanzisha Uzi huu kwa madhumuni ya kupata msaada. Mini Huawei Y530....nilifanikiwa kui-root... Nikafanikiwa bila wasiwasi..na nikafanikiwa kutumia faida ya Ku root kwa kung'oa bloatware...
Wadau amani iwe kwenu. Naomba mwenye utaalamu wa channels settings anipe frequencies za local Tanzania TV channels zinazopatikana kwenye satelite dish. Ahsanteni
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.