Phone rooting

Phone rooting

Xhakaa

JF-Expert Member
Joined
Nov 18, 2014
Posts
338
Reaction score
270
Wakuu habar! Nahitaji kufaham kama hii vodafone vf685 naweza kui root! Maanake nimejaribu one click, framaroot na towelroot bila mafanikio..nawasilisha
 
Download app inaitwa king root ni ya kichna but unachtkiwa kufny ni kubonyeza kiduara utakachokiona ukifungua hio app then itaload kwa muda itakuwekea alama ya tiki kwa imekua rooted then nenda play store download rootcheker uangalie mma umefanikiwa. Ulte mrejesho eli tuangalie njia nyngine kama hyo imeshndkana. Nb smu yako iwe na charge over 30
 
Kuna risk gan ikiwa above 30
 
Nashkuru wakuu, ngoja nijaribu hizo njia
 
Download app inaitwa king root ni ya kichna but unachtkiwa kufny ni kubonyeza kiduara utakachokiona ukifungua hio app then itaload kwa muda itakuwekea alama ya tiki kwa imekua rooted then nenda play store download rootcheker uangalie mma umefanikiwa. Ulte mrejesho eli tuangalie njia nyngine kama hyo imeshndkana. Nb smu yako iwe na charge over 30

Kuna risk gan ikiwa above 30

Nawashukuru sana wakuu¡ king root ndo habar ya mujini
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom