Msaada fundi wa brackberry simu imezima ghafla

Msaada fundi wa brackberry simu imezima ghafla

Roho Mbaya

JF-Expert Member
Joined
Aug 1, 2012
Posts
777
Reaction score
677
Nina simu yangu aina ya brackberry q 10 imeziba ghafla ikiwa kwenye charge fundi wa hapa mtaani kaingalia tu kasema hii haiwezekani, msaada anaejua fundi wa simu hizi anijulishe nipo dar es salaam
 
Nipo mkoan nikirud nakutafuta tufanye biashara.
 
Nina simu yangu aina ya brackberry q 10 imeziba ghafla ikiwa kwenye charge fundi wa hapa mtaani kaingalia tu kasema hii haiwezekani, msaada anaejua fundi wa simu hizi anijulishe nipo dar es salaam

Ukiiwasha inareapond vipi?
Na je ukichomeka kwenye chaji inarespond vipi?

Je ukiichomeka kwenye pc inatambulika?
 
Ukiiwasha inareapond vipi?
Na je ukichomeka kwenye chaji inarespond vipi?

Je ukiichomeka kwenye pc inatambulika?

Ukichomeka kwenye charge , inawasha taa moja nyekundu na kuzima, ukiiwasha hairespond chochote na ukichome kwenye pc haitambuliki
 
Back
Top Bottom